-
Trump apanga kumpiga kalamu nyekundu mkuu wa watumishi wa Ikulu ya White House
Mar 24, 2018 10:36Katika kuendeleza panguapangua iliyoshika kasi ndani ya Ikulu ya Marekani White House, habari za karibuni kabisa zinaeleza kuwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo, ana nia ya kumpiga kalamu nyekundu mkuu wa wafanyakazi katika ikulu hiyo.
-
Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 23, 2018 03:27Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa walikutana jana Alkhamisi pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia suala la makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Trump aendeleza bwabwaja zake dhidi ya Iran
Mar 21, 2018 00:36Rais Donald Trump wa Marekani jana Jumanne alikutana na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Ikulu ya White House na kukariri tena madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
-
Czech kuuhamishia ubalozi wake Quds chini ya mashinikizo ya Israel
Mar 18, 2018 23:47Jamhuri ya Czech ipo chini ya mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuitaka ihamishie ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) kama ilivyofanya Marekani.
-
Rais wa Botswana asema Trump anashajiisha ujangili, magendo ya vipusa
Mar 18, 2018 13:01Rais Ian Khama wa Botswana amesema Rais Donald Trump wa Marekani anaunga mkono na kushajiisha ujangili barani Afrika, kufuatia hatua yake ya hivi karibuni ya kuangalia upya marufuku ya vipusa na bidhaa nyingine zilizotengenezwa kwa pembe za ndovu.
-
Mwakilishi wa Democrat: Trump ni tishio kubwa kwa usalama wa Marekani; wakati wa kumuondoa umefika
Mar 17, 2018 12:14Mwakilishi wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema rais Donald Trump ni tishio kubwa sana kwa usalama wa nchi hiyo.
-
Kupigwa kalamu nyekundu Tillerson; mtingishiko ndani ya serikali ya Trump
Mar 14, 2018 04:50Hatimaye Rex Tillerson amepigwa kalamu nyekundu na kuuzuliwa wadhifa wa uwaziri wa mambo ya nje wa Marekani. Rais Donald Trump wa Marekani ametoa ujumbe kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter wa kutangaza moja ya mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri katika kipindi cha urais wake.
-
Rais Trump aingia katika vita vya maneno na gavana wa jimbo la California
Mar 14, 2018 04:12Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha vita vipya vya maneno na Jerry Brown, gavana wa jimbo la California nchini humo.
-
Trump amfuta Waziri wa Mambo ya Nje Tillerson, mkuu wa CIA achukua nafasi hiyo
Mar 13, 2018 12:31Rais Donald Trump wa Marekani amemfuta kazi Waziri wake wa Mambo ya Nje, Rex Tillerson na kumteua Mkurugenzi wa Shirika Kuu la Ujasusi, CIA, Mike Pompeo kuchukua nafasi hiyo.
-
Mawakili wa Marekani, Palestina na Jordan kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Mar 13, 2018 12:24Wanasheria na mawakili kadhaa wa Marekani, Palestina na Jordan wametangaza kuwa wako tayari kufungua mashtaka mahakamani dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu wa kuitambua Quds tukufu (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kutaka kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji huo.