Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Kumalizika ziara ya Trump nchini India

    Kumalizika ziara ya Trump nchini India

    Feb 27, 2020 04:38

    Ziara ya siku mbili ya Rais Donald Trump wa Marekani huko India imemalizika katika hali ambayo hakujatangazwa habari yoyote kuhusu kufikiwa mapatano makubwa ya kibiashara kati ya nchi mbili hizo.

  • Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS

    Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS

    Feb 26, 2020 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuwa askari wa Marekani wako nchini Syria kwa ajili ya kupora mafuta ya nchi hiyo na kwamba Iran inalichukia kundi la kigaidi la ISIS.

  • Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani

    Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani

    Feb 25, 2020 04:32

    Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kama mtu hatari kwa demokrasia na kusisitiza kuwa, yuko tayari kumuunga mgombea yoyote atakayechuana na mwanasiasa huyo wa Republican katika uchaguzi ujao nchini humo.

  • Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya

    Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"

    Feb 24, 2020 08:52

    Ikiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.

  • Donald Trump akaribishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini India

    Donald Trump akaribishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini India

    Feb 24, 2020 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani amekaribishwa nchini India kwa maandamano ya maelfu ya watu wanaopiga nara dhidi ya kiongozi huyo na siasa zake za kibaguzi na kijuba.

  • Trump apatwa na hasira kali baada ya maseneta wa Democrat kukutana na Javad Zarif

    Trump apatwa na hasira kali baada ya maseneta wa Democrat kukutana na Javad Zarif

    Feb 20, 2020 01:04

    Rais Donald Trump wa Marekani amekasirishwa mno na kitendo cha maseneta wa chama cha Democrat kukutana na Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na kudai kuwa mikutano ya wanasiasa wa chama hicho na Zarif, ndio sababu inayoifanya Tehran isikubali mazungumzo na Washington.

  • Wendy Sherman: Kuuawa Luteni Qassem Soleimani kutakuwa na matokeo hatari

    Wendy Sherman: Kuuawa Luteni Qassem Soleimani kutakuwa na matokeo hatari

    Feb 18, 2020 23:23

    Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani ameitaja jinai ya serikali ya Trump ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kuwa ni hatua yenye hatari kubwa.

  • John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    Feb 18, 2020 23:22

    Mshauri wa Zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ambaye binafsi ni miongoni mwa wabunifu wa mpango wa mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran katika serikali ya Rais Donald Trump, amekosoa utekelezaji wa siasa hizo za Trump kuilenga Tehran.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Feb 18, 2020 04:43

    Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.

  • Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Feb 15, 2020 23:18

    Tarehe tatu Januari mwaka huu wa 2020, rais wa Marekani, Donald Trump, alifanya jinai ya kutoa amri ya kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wanajihadi wenzake tisa karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad, huko Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS