Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Congress  ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.

    Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.

    Jul 19, 2019 21:56

    Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.

  • Araqchi: Labda Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran

    Araqchi: Labda Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran

    Jul 19, 2019 03:08

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu madai ya rais wa Marekani ya kwamba meli ya kivita ya nchi hiyo eti imetungua ndege isiyo na rubani ya Iran katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, pengine Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran.

  • Kauli hasi ya Trump kwa sababu ya kupatiwa Uturuki vifaa vya mfumo wa makombora wa S-400 wa Russia

    Kauli hasi ya Trump kwa sababu ya kupatiwa Uturuki vifaa vya mfumo wa makombora wa S-400 wa Russia

    Jul 17, 2019 21:50

    Uamuzi wa Uturuki wa kununua mfumo wa kisasa wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia umezusha mikwaruzano mikubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa katika uhusiano wa Uturuki na Marekani.

  • Dunia yamlaani Trump kwa kuwatukana wabunge wanawake wa Marekani

    Dunia yamlaani Trump kwa kuwatukana wabunge wanawake wa Marekani

    Jul 16, 2019 02:54

    Viongozi na wanasiasa kote duniani wameendelea kumlaani Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuwadhalilisha na kuwatukana matusi ya kibaguzi wabunge wanawake wa chama cha Democrat katika Kongresi ya Marekani.

  • Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani: Madai ya nyuklia ya Trump dhidi ya Iran ni urongo mtupu

    Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani: Madai ya nyuklia ya Trump dhidi ya Iran ni urongo mtupu

    Jul 15, 2019 02:44

    Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani William Perry amesema, madai aliyotoa rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba Iran inaendelea kurutubisha urani kwa siri ni urongo mtupu.

  • Nyaraka: Trump aliiondoa Marekani JCPOA ili kumuudhi Obama

    Nyaraka: Trump aliiondoa Marekani JCPOA ili kumuudhi Obama

    Jul 14, 2019 02:02

    Balozi wa Uingereza mjini Washington aliyejiuzulu siku chache zilizopita baada ya kuhitalifiana na kushambuliana kwa maneno na Donald Trump amesema rais huyo wa Marekani aliiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa lengo la kumuudhi mtangulizi wake, Barack Obama.

  • El Baradei akosoa siasa za Donald Trump dhidi ya Iran

    El Baradei akosoa siasa za Donald Trump dhidi ya Iran

    Jul 13, 2019 06:41

    Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile sera za nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Jul 09, 2019 03:48

    Rais Donald Trump wa Marekani Disemba mwaka 2018 aliwaahidi Wamarekani kwamba ataliondoa jeshi la nchi hiyo huko Syria. Trump alitoa ahadi hiyo katika kile kinachoaminika kuwa ni sehemu ya kutekeleza kampeni yakee ya kubakia ikulu ya White House.

  • Trump awashambulia George W. Bush na John McCain wa chama chake

    Trump awashambulia George W. Bush na John McCain wa chama chake

    Jul 05, 2019 23:40

    Rais Donald Trump wa Marekani amewashambulia viongozi wa chama chake cha Republican akiwemo George W. Bush, rais wa zamani wa nchi hiyo pamoja na John McCain, kupitia mahojiano na mwandishi mmoja wa vitabu.

  • Uungaji mkono wa rais wa Misri kwa Haftar katika mazungumzo yake ya simu na Trump

    Uungaji mkono wa rais wa Misri kwa Haftar katika mazungumzo yake ya simu na Trump

    Jul 05, 2019 02:39

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Misri amesema kuwa rais wa nchi hiyo amezungumza na mwenzake wa Marekani kuhusiana na masuala ya Libya na Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS