-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; hatua ya kukata tamaa watawala wa Washington
Jun 25, 2019 07:39Baada ya Rais Trump wa Marekani kuchukua hatua ya kuiondoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, serikali yake ilianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya taifa la Iran.
-
Sheikh Isa Qassim: Trump anataka kuiuza Palestina na matukufu yake
Jun 25, 2019 02:25Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim sambamba na kulaani hatua ya utawala wa Manama kuwa mwenyeji wa Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kuanza leo nchini humo kwa shabaha ya kuzindua mpango wa 'Muamala wa Karne' amesema mpango huo wa Rais Donald Trump wa Marekani unakusudia kuwapokonya Wapalestina haki zao zote na kuuza kila kitu kinachomilikiwa nao yakiwemo maeneo matakatifu.
-
Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran
Jun 24, 2019 03:34Utawala wa Marekani unaendelea kuchanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran na hali hiyo ilifikia kilele chake baada ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani kutunguliwa na vikosi vya kijeshi vya Iran Alhamisi iliyopita.
-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 23, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.
-
Meya wa London amkejeli Trump, asema ni mtoto wa futi sita
Jun 23, 2019 08:31Meya wa jiji la London nchini Uingereza amerudisha mapigo ya mashambulizi ya maneno na bwabwaja za Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaja kuwa ni mtoto mdogo mwenye futi 6.
-
Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990
Jun 22, 2019 08:42Rais Donald Trump wa Marekani anaandamwa na kashfa nyingine ya ufuska baada ya mwanadishi wa habari kwa jina E. Jean Carroll, kufichua kuwa kiongozi huyo wa Marekani wakati huo akiwa mjasiriamali alimbaka katikati ya miaka 90.
-
Wajumbe wa Kongresi ya Marekani wamuonya Trump juu ya chokochoko zozote dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 03:24Wawakilishi wanne wa Bunge la Kongresi nchini Marekani wamemuonya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran kufuatia kutunguliwa na jeshi la Iran ndege yake ya ujasusi Alkhamisi ya jana, baada ya rais huyo kutoa radiamali kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Trump atoa radiamali kufuatia kuatunguliwa droni ya kijasusi ya Marekani
Jun 21, 2019 00:19Rais Donald Trump wa Marekani ametoa radiamali ya kwanza kufuatia kutunguliwa na mfumo wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani ambapo amedai kwamba, eti Iran imefanya kosa kubwa.
-
Wafanyabiashara wa Kipalestina wasusia mkutano wa Trump, Bahrain
Jun 21, 2019 00:08Wafanyabiashara na wawekezaji mashuhuri wa Kipalestina wametangaza bayana kuwa hawatoshiriki mkutano wa 'kiuchumi wa Manama' nchini Bahrain ulioitishwa na Marekani, wenye lengo la kuzindua 'Muamala wa Karne', wakisisitiza kuwa kile ambacho Wapalestina wanahitajia ni uhuru wao na wala sio fedha.
-
Trump awataka washauri wake wajiepushe na matamshi makali ya kupenda vita dhidi ya Iran
Jun 20, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani amewataka washauri wake wajiepushe na matamshi makali ya kichochezi na ya kupenda vita dhidi ya Iran.