-
Hamas: Trump hawezi kuwatenganisha Wapalestina na Quds Tukufu
Jun 20, 2019 06:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa muamala wa karne hauwezi kuwapokonya Wapalestina mji wa Quds (Jeruusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bernie Sanders: Trump ni rais hatari zaidi kuwahi kutawala katika historia ya Marekani
Jun 19, 2019 22:15Seneta mmoja mashuhuri nchini Marekani amesema kuwa, nchi hiyo haijawahi kupata rais hatari zaidi kushinda Donald Trump katika historia yake yote.
-
Trump aahidi kuponya Ukimwi na kuwapeleka Wamarekani sayari ya 'Mars' akichaguliwa tena
Jun 19, 2019 03:18Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuwa iwapo atashinda muhula wa pili katika uchaguzi wa rais mwaka ujao, basi utawala wake utatoa tiba ya maradhi hatari ya saratani na Ukimwi.
-
Wamarekani waandamana katika miji 130 wakitaka Rais Donald Trump asailiwe
Jun 16, 2019 09:07Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji tofauti inayokaribia 130 wakitaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo asailiwe.
-
Kundi la Haftar lapinga mazungumzo ya amani mpaka "liiteke" Tripoli
Jun 13, 2019 22:03Aguila Saleh, Spika wa Bunge la Tobruk linalomuunga mkono Khalifa Haftar huko Libya amesema kuwa hawatoshiriki katika mazungumzo yoyote ya amani hadi pale watakaooipindua serikali ya Umoja wa Kitaifa na kuiteka Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran
Jun 13, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.
-
Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jun 11, 2019 00:51Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.
-
Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 22:39Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Seneti ya Marekani yaanzisha mchakato wa kuzuia uuzaji wa silaha kwa Saudia
Jun 06, 2019 02:11Maseneta wa Marekani wamewasilisha katika Kongresi ya nchi hiyo muswada unaotaka kuzuia mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, yaliyoidhinishwa hivi karibuni na utawala wa Rais Donald Trump bila idhini ya Kongresi.
-
Waziri kivuli wa Uingereza: Donald Trump ni mbaguzi
Jun 05, 2019 22:01Waziri kivuli wa mambo ya nje wa Uingereza amemkosoa vikali Rais Donald Ttump wa Marekani na kumtaja kuwa ni mbaguzi na muwindaji wa ngono.