-
Donald Trump akaribishwa kwa maandamano mjini London Uingereza
Jun 03, 2019 08:12Rais Donald Trump wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Uingereza huku kukiwa na maandamano makubwa ya wananchi wenye hasira wanaompinga kiongozi huyo.
-
Uingiliaji wa wazi wa serikali ya Trump katika masuala ya ndani ya Uingereza
Jun 02, 2019 23:49Sambamba na kujiuzulu Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza kutokana na kushindwa kutatua kadhia ya Brexit, hivi sasa Rais Donald Trump wa Marekani na maafisa wa serikali yake wanafanya jitihada za kubadilisha matukio ya nchi hiyo ya kisiwa barani Ulaya, yaendane na malengo ya Washington.
-
Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran
May 30, 2019 21:52Rais Donald Trump wa Marekani siku zote amekuwa na misimamo ya kihasama na kiadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na daima anasisitiza suala la kuzidisha masihinizo dhidi ya Tehran kwa shabaha ya kuilazimisha kukubali matakwa ya Washington.
-
Raia wa Jordan waandamana kupinga safari ya mkwe wa Trump nchini kwao
May 29, 2019 23:12Raia wa Jordan wamefanya maandamano kupinga safari ya Jared Kushner, mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi ambapo wamepiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Amman.
-
Trump abadilisha kauli yake kuhusu Iran, ombi la mazungumzo mkabala wa msimamo wake wa awali wa vitisho
May 28, 2019 02:42Rais Donald Trump wa Marekani, iwe ni katika zama za kampeni za uchaguzi au baada ya kuingia Ikulu ya White House Januari 2017, amekuwa akifuatilia sera ya kuudhoofisha au kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu
May 27, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu usiku amejibu madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa eti Iran inafuatilia silaha za nyuklia na kusema, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshatangaza kuwa silaha za nyuklia ni haramu.
-
Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini
May 26, 2019 21:51Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.
-
Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi
May 25, 2019 21:55Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.
-
Trump aziuzia Saudia, UAE silaha za dola bilioni 8 bila idhini ya Kongresi ya Marekani
May 25, 2019 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amethibitisha kuwa serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, bila idhini ya Kongresi ya nchi hiyo.
-
Ilhan Omar: Trump ni mwendawazimu na mtu aliyechanganyikiwa
May 25, 2019 02:26Mbunge wa Kongresi ya Marekani, Ilhan Omar amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa ni mwendawazimu, mtu asiye wa kawaida, aliyechanganyikiwa na mwenye huzuni.