-
Sanders: Trump ni kidhabi na rais hatari zaidi katika historia ya US
Mar 03, 2019 04:15Seneta Bernie Sanders ambaye amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya hivi karibuni ya Marekani na kwamba mwanasiasa huyo wa chama cha Republican amekubuhu katika kusema urongo.
-
Michael Cohen: Trump ni mbaguzi wa rangi, tapeli na mdanganyifu
Feb 28, 2019 04:00Aliyekuwa wakili wa rais wa Marekani Donald Trump amesema, kiongozi huyo ni mbaguzi wa rangi, tapeli na mdanganyifu; na yeye anajuta kufanya kazi naye.
-
Mbunge wa Democrats: Trump ndiye tishio kuu kwa demokrasia ya Marekani
Feb 25, 2019 00:49Mwakilishi wa chama cha upinzani cha Democrats amesema Rais Donald Trump ndiye tishio nambari moja kwa demokrasia ya Marekani.
-
Baba yake Hoda Muthana awasilisha mashtaka rasmi dhidi ya serikali ya Marekani
Feb 23, 2019 00:15Baba wa binti Hoda Muthana ambaye alikuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh huko Syria amewasilisha rasmi malalamiko yake kwa serikali ya Marekani.
-
Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria
Feb 21, 2019 21:42Nchi za Ulaya zimelikataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuzitaka zipeleke vikosi vya majeshi yao nchini Syria na kujaza nafasi itakayoachwa wazi na vikosi vya jeshi la Marekani.
-
Trump: Mwanamke mwanachama wa DAESH (ISIS) hana ruhusa ya kuingia Marekani
Feb 21, 2019 12:01Rais Donald Trump wa Marekani amesema, Hoda Muthana, mwanamke ambaye ni mwanachama wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), hana ruhusa ya kuingia nchini humo. Trump ametoa agizo hilo pasi na kuashiria hatua zilizochukuliwa na serikali ya Washington katika kuanzisha na kuliunga mkono kundi hilo la ukufurishaji.
-
Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani
Feb 21, 2019 07:46Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.
-
Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho
Feb 21, 2019 04:14Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.
-
Majimbo 16 ya Marekani yafungua mashtaka dhidi ya Trump
Feb 19, 2019 12:16Majimbo 16 ya Marekani yamefungua mashtaka mahakama dhidi ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kufuatia hatua yake ya kutangaza hali ya hatari nchini humo kwa ajili ya kupata fedha za kujenga ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico, suala ambalo limepingwa na Kongresi ya Marekani.
-
Trump awatishia wanajeshi wanaomuunga mkono Maduro
Feb 19, 2019 04:12Rais wa Marekani amewatishia maafisa wa jeshi wa Venezuela wanaomuunga mkono Rais wa nchi hiyo.