-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.
-
Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2019 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiishambulia Iran kwa maneno makali iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka 2016 au baada ya kuingia katika Ikulu ya White House Januari mwaka 2017 na hivyo kuendeleza mkondo wa kutakka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini.
-
Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 12, 2019 06:36Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Zarif ajibu bwabwaja za Trump, asema Marekani imefeli mbele ya Iran katika miaka 40 ya Mapinduzi
Feb 12, 2019 04:50Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu ujumbe uliokuwa umejaa hasira na vinyongo wa Rais Donald Trump wa Marekani akisema kuwa: Baada ya miaka 40 ya machaguo yasiyo sahihi, sasa wakati umefika kwa Trump kubadilisha siasa zilizoshindwa na kufeli za Marekani mkabala wa Iran.
-
Seneta wa Marekani asema huenda Trump 'atafungwa jela' kufikia 2020
Feb 11, 2019 04:17Seneta wa chama cha Democrats nchini Marekani amesema yumkini Rais Donald Trump wa nchi hiyo atakuwa gerezani kabla ya uchaguzi mkuu ujao nchini humo mwaka ujao 2020.
-
Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro
Feb 10, 2019 07:37Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, wapinzani wa serikali wanaoungwa mkono na Marekani wamezidisha njama zao za kubadilisha hali ya nchi hiyo kwa manufaa yao.
-
Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington
Feb 08, 2019 03:26Tarehe 19 Disemba mwaka jana Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kwamba askari wa Marekani wataanza kuondoka Syria.
-
Vyombo vya habari Marekani: Fikra za Trump kuhusu Iran hazina mlingano, zinafurutu mipaka
Feb 06, 2019 23:27Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, matamshi yanayotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo yanaonesha kuwa, kiongozi huyo ana mitazamo na fikra zisizo na mlingano na za kuchupa mipaka kuhusiana na Iran.
-
Uropokaji na upayukaji mwingine mpya wa Trump dhidi ya Iran
Feb 06, 2019 10:37Marekani, katika kipindi cha urais wa Donald Trump, imedhihirisha bila kificho kuwa imepanga na inatekeleza mpango wa kuudhoofisha na kuuangusha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti: Kiwango cha ufisadi kimekithiri Marekani katika utawala wa Trump
Jan 29, 2019 21:41Ripoti ya shirika la kutathmini viwango vya ufisadi duniani la Transparency International imesema kiwango cha ufisadi na visa vya rushwa vimeogezeka pakubwa nchini Marekani tangu Rais Donald Trump aingie madarakani.