Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump: Kufungwa tena serikali, ni moja ya machaguo yetu

    Trump: Kufungwa tena serikali, ni moja ya machaguo yetu

    Jan 28, 2019 04:46

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kufungwa kwa mara nyingine shughuli za serikali, ni miongoni mwa machaguo makuu kwa ajili ya kukabiliana na Kongresi kuhusiana na kadhia ya ujenzi wa ukuta wa mpakani.

  • Misala ya Waislamu yamtia kiwewe rais wa Marekani, Donald Trump

    Misala ya Waislamu yamtia kiwewe rais wa Marekani, Donald Trump

    Jan 21, 2019 13:01

    Njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kujaribu kuchafua sura ya Waislamu na wahajiri wanaoingia nchini humo, zimeonesha ni kiasi gani rais huyo alivyo na mtazamo finyu kuhusiana na Uislamu na jinsi anavyotiwa kiwewe na dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.

  • Kiongozi wa Wademocrati akataa pendekezo jipya la Trump

    Kiongozi wa Wademocrati akataa pendekezo jipya la Trump

    Jan 20, 2019 09:13

    Kiongozi wa wawakilishi wa chama cha Democratic katika Baraza la Seneti la Marekani amekataa pendekezo la Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa ajili ya kukomesha hatua yake ya kufunga shughuli zote za serikali ya nchi hiyo.

  • Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Jan 20, 2019 04:13

    Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.

  • Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki

    Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki

    Jan 19, 2019 13:07

    Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo maalumu wa kubadilishana fedha na Iran maarufu kwa jina la SPV na kusema kuwa, kisingizio kinachotolewa na nchi hizo cha kwamba haziwezi kuyalazimisha mashirika ya nchi zao, hakikubaliki kabisa.

  • Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo

    Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo

    Jan 14, 2019 12:07

    Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamesema kuwa Rais Donald Trump ndiye anayepaswa kubebeshwa dhima ya kufungwa kwa taasisi za serikali nchini humo tokeo mwezi uliopita hadi sasa.

  • Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki

    Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki

    Jan 14, 2019 09:42

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.

  • Marais wa zamani wa Marekani hawaungi mkono shinikizo la Trump la kujengwa ukuta

    Marais wa zamani wa Marekani hawaungi mkono shinikizo la Trump la kujengwa ukuta

    Jan 08, 2019 21:30

    Marais wanne wa zamani wa Marekani wamekanusha madai ya Rais Donald Trump kwamba wanaunga mkono azma ya kujengwa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.

  • Wamarekani waliowengi wanapinga ujenzi wa ukuta mpakani

    Wamarekani waliowengi wanapinga ujenzi wa ukuta mpakani

    Jan 06, 2019 10:36

    Uchunguzi mpya wa maoni umebiani kuwa wananchi waliowengi Marekani wanapinga mpango wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wa kujenga ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.

  • Trump atishia kutangaza hali ya hatari kushinikiza ujenzi wa ukuta

    Trump atishia kutangaza hali ya hatari kushinikiza ujenzi wa ukuta

    Jan 06, 2019 03:47

    Huku shughuli za serikali zikiendelea kufungwa kwa wiki ya tatu sasa nchini Marekani, Rais Donald Trump ametishia kuwa ikilazimu atatangaza hali ya hatari ili kushinikiza ujenzi wa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS