Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ebola

  • SADC kuisaidia DRC kukabiliana ugonjwa wa Ebola

    SADC kuisaidia DRC kukabiliana ugonjwa wa Ebola

    Aug 13, 2019 02:39

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC zimeunganisha nguvu kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

  • UN: Watu 86 wanaambukizwa Ebola kila wiki DRC

    UN: Watu 86 wanaambukizwa Ebola kila wiki DRC

    Aug 10, 2019 03:05

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Dunaini (WHO) limetangaza kuwa kwa wastani watu 86 wanaambukizwa ugonjwa wa Ebola kila wiki nchini Jamhuri ya Kdemokrasia ya Congo, DRC katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri.

  • Rwanda na DRC kushirikiana katika kukabiliana na Ebola

    Rwanda na DRC kushirikiana katika kukabiliana na Ebola

    Aug 07, 2019 07:02

    Serikali za Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeazimia kushirikiana katika kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola.

  • Kesi 12 mpya za maradhi ya Ebola zaripotiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Kesi 12 mpya za maradhi ya Ebola zaripotiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Aug 03, 2019 22:38

    Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, kumegunduliwa kesi mpya 12 za maambukizi ya maradhi ya Ebola katika mji wa Goma.

  • Congo DR yazidisha jitihada za kudhibiti Ebola mashariki mwa nchi hiyo

    Congo DR yazidisha jitihada za kudhibiti Ebola mashariki mwa nchi hiyo

    Aug 03, 2019 07:14

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeanzisha juhudi kubwa za kudhibiti ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola huko mashariki mwa nchi hiyo baada ya mchimba migodi mmoja aliyekuwa na familia kubwa kuaga dunia kutokana na homa ya ugonjwa huo katika mji wa Goma.

  • Wasiwasi wa kuenea tena maradhi ya Ebola watawala Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Wasiwasi wa kuenea tena maradhi ya Ebola watawala Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Aug 01, 2019 23:44

    Wasiwasi wa mlipuko mpya wa maradhi ya Ebola umetanda katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya kuripotiwa visa vitatu vipya vya maambukizi ya maradhi hayo.

  • Rwanda yafunga mpaka wake na Congo DR kwa kuhofia virusi vya Ebola

    Rwanda yafunga mpaka wake na Congo DR kwa kuhofia virusi vya Ebola

    Aug 01, 2019 08:18

    Serikali ya Rwanda imefunga mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kugunduliwa kesi ya tatu ya muathirika wa virusi vya ugonjwa wa Ebola katika mji wa mpakani wa Goma.

  • WHO yatangaza Ebola kuwa 'dharura ya kiafya duniani'

    WHO yatangaza Ebola kuwa 'dharura ya kiafya duniani'

    Jul 18, 2019 22:04

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa ni ''dharura ya kiafya inayohitaji jumuia ya kimataifa kuitazama''.

  • WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    Jul 18, 2019 07:31

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mwanamke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaga dunia mapema mwezi huu kutokana na homa hatari ya Ebola aliingia nchini Rwanda akiwa ameathiriwa na ugonjwa huo na huenda alisambaza virusi hivyo nchini humo kabla ya kuelekea nchini Uganda alikofia.

  • WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya kuenea homa ya Ebola huko Kongo DR

    WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya kuenea homa ya Ebola huko Kongo DR

    Jul 17, 2019 07:58

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa mlipuko wa homa ya Ebola ulioukumba mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huwenda ukawa na athari mbaya sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS