-
Polisi ya Uturuki yazima njama ya mauaji dhidi ya Rais Erdogan
Dec 05, 2021 07:16Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti kuwa, polisi ya nchi hiyo imegundua na kulipua bomu lililokuwa limetegwa eneo ambako Rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdoğan, alipangiwa kuhutubia wananchi huko kusini mwa Uturuki.
-
Safari ya mrithi wa ufalme wa Imarati nchini Uturuki; sababu na malengo yake
Nov 25, 2021 07:37Mohammed Bin Zayed Al Nayhan, mrithi wa ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) jana Jumatano tarehe 24 Novemba aliwasili mjini Ankara, Uturuki ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Rais wa Uturuki: Jamii ya kimataifa ikomeshe uenezwaji chuki dhidi ya Uislamu
Jan 28, 2021 07:25Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vyombo vya kijamii vya Magharibi kugeuzwa kuwa jukwaa la kuenezea chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya wageni na akaitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kuzuia mwenendo huo.
-
Bunge la Iran: Lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na hazikubaliki
Dec 14, 2020 02:56Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki ujirani mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
-
Iran na Uturuki zasisitiza kuimarisha ujirani mwema na wa kiudugu
Dec 13, 2020 07:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uturuki wametilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kiudugu na ujirani mwema baina yao.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Uturuki kwa maafa ya zilzala ya Izmir
Oct 31, 2020 10:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananhi wa Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea jana Ijumaa katika eneo la Izmir na kutangaza kuwa Iran iko tayari kwa ajili ya misaada ya aina zote kwa waathiriwa wa janga hilo.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa
Sep 09, 2020 02:34Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa taarifa mwishoni mwa kikao cha sita cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili wakisisitiza udharura wa kupanuliwa na kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa katika fremu ya kudhamini maslahi ya pamoja ya Tehran na Ankara.
-
Erdoğan: Tutaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya kukabiliana na Misri
Jul 18, 2020 07:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake itaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya kukabiliana na Misri na kamwe haitowaacha mkono wananchi wa Libya.
-
Erdogan: Uchumi wa Kiislamu unaweza kuiondoa dunia katika mgogoro
Jun 15, 2020 14:59Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema uchumi wa Kiislamu ndiyo dawa mjarabu ya kuiondoa dunia katika mgogoro wa kiuchumi uliosababishwa na janga la corona.
-
Rais Tayyip Erdoğan: Lobi za Kiarmania ni 'wafuasi wa shetani'
May 14, 2020 03:51Katika hotuba yake ya hivi karibuni aliyoitoa kupitia televisheni, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amezitaja lobi za Kiarmenia kuwa ni 'wafuasi wa shetani.'