Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Kivuko cha mpakani kati ya Sudan na Ethiopia chafungwa

    Kivuko cha mpakani kati ya Sudan na Ethiopia chafungwa

    Apr 05, 2021 00:03

    Viongozi wa Sudan wamechukua uamuzi wa kukifunga kivuko cha mpakani kati ya nchi hiyo na Ethiopia.

  • Watu 30 wauliwa katika shambulizi la silaha, nchini Ethiopia

    Watu 30 wauliwa katika shambulizi la silaha, nchini Ethiopia

    Apr 01, 2021 03:46

    Watu waliokuwa na bunduki wamewauwa raia wasiopungua 30 katika shambulio lililolenga kijiji kimoja katika mkoa wa Oromia nchini Ethiopia. Shambulizi hilo linatambuliwa kuwa ni katika mfululizo wa ghasia za kikabila za hivi karibuni za wapinzani wa serikali ya shirikisho.

  • Al Sisi aionya Ethiopia, asema maji ya Misri na mstari mwekundu, anayetaka kujaribu atakiona..

    Al Sisi aionya Ethiopia, asema maji ya Misri na mstari mwekundu, anayetaka kujaribu atakiona..

    Mar 30, 2021 22:35

    Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ametishia kutoa jibu lisilotasawarika iwapo nchi yake itapata madhara kutokana na bwana la Renaissance linalojengwa na Ethiopia juu ya maji ya Mto Nile.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia sasa akiri kuwepo askari wa Eritrea Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia sasa akiri kuwepo askari wa Eritrea Tigray

    Mar 23, 2021 22:37

    Kwa mara ya kwanza, Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri juu ya uwepo wa askari wa nchi jirani ya Eritrea katika eneo linaloshuhudia mapigano la Tigray la kaskazini mwa nchi; sanjari na kukiri pia kwamba kumefanyika jinai za kutisha na zilizo dhidi ya binadamu katika eneo hilo.

  • Sudan yaitahadharisha Ethiopia; yasema iko tayari kwa lolote

    Sudan yaitahadharisha Ethiopia; yasema iko tayari kwa lolote

    Mar 21, 2021 22:35

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la utawala wa mpito Sudan amesema kuwa nchi yake imejiandaa kwa lolote na kuitaka Ethiopia kujiweka mbali na ardhi ya Sudan.

  • Addis Ababa: Asilimia 86 ya maji ya Mto Nile ni mali ya Ethiopia

    Addis Ababa: Asilimia 86 ya maji ya Mto Nile ni mali ya Ethiopia

    Mar 18, 2021 09:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia amedai kuwa, sehemu kubwa ya akiba ya maji ya Mto Nile ni mali ya nchi yake.

  • Zaidi ya watu 131,000 wametawanyika kufuatia mgogoro wa kaskazini mwa Ethiopia

    Zaidi ya watu 131,000 wametawanyika kufuatia mgogoro wa kaskazini mwa Ethiopia

    Mar 10, 2021 08:45

    Zaidi ya watu 131,000 wametawanyika kufuatia migogoro kaskazini na kaskazini mashariki mwa Ethiopia katika mikoa ya Tigray, Afar na Amhara

  • Sudan yaituhumu Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la waasi

    Sudan yaituhumu Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la waasi

    Mar 09, 2021 01:12

    Sudan imeituhumu serikali ya Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la uasi ili kuudhibiti mji wa al Karmak huko kusini mashariki mwa Sudan.

  • HRW: Wanajeshi wa Eritrea wameua mamia ya watoto Ethiopia

    HRW: Wanajeshi wa Eritrea wameua mamia ya watoto Ethiopia

    Mar 06, 2021 23:37

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema wanajeshi wa Eritrea wameua mamia ya raia wakiwemo watoto wadogo katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.

  • Baraza la Usalama laendelea kufumbia macho mapigano Tigray, Ethiopia

    Baraza la Usalama laendelea kufumbia macho mapigano Tigray, Ethiopia

    Mar 06, 2021 04:45

    Jitihada za kulitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litoe taarifa ya kutaka kusitishwa machafuko na mauaji yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia zimegonga mwamba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS