-
Misri yatoa vitisho dhidi ya Ethiopia kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha
Jul 25, 2020 06:57Mjumbe wa timu ya Misri katika mazungumzo kuhusu Bwawa la al-Nahdha ametishia kuwa, endapo hakutafikiwa mwafaka katika kadhia hiyo, serikali ya Cairo itachukua hatua ya upande mmoja dhidi ya Ethiopia.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia azitahadharisha Misri na Sudan kuhusu Bwawa la An Nahdhah
Jul 23, 2020 02:36Waziri Mkuu wa Ethiopia ameutaja ujenzi wa Bwawa la An Nahdhah kuwa ni hatua iliyochelewa na kuzionya Misri na Sudan juu ya hatua zao kuhusiana na bwawa hilo.
-
Mgogoro wa bwawa la al Nahdha ungali unazitesa Misri, Sudan na Ethiopia
Jul 13, 2020 03:03Wizara ya Umwagiliaji Maji ya Misri imetangaza habari ya kuendelea mgogoro baina ya nchi hiyo na Sudan na Ethiopia katika siku ya kumi ya mazungumzo ya nchi hizo tatu kuhusu bwawa la al Nahdha.
-
Waliouawa katika ghasia Ethiopia wafika 239
Jul 08, 2020 11:34Mauaji ya watu hao yamejiri katika ghasia ambazo ziliiibuka Ethiopia wiki iliyopita kufuatia mauaji ya mwanamuziki na mwanaharakati maarufu Haacaaluu Hundeessaa.
-
Watu 166 wameuawa katika ghasia Ethiopia, waziri mkuu asema ni njama ya maadui
Jul 05, 2020 03:13Watu wasiopungua 166 wameuawa katika ghasia ambazo zimeibuka Ethiopia kufuatia mauaji ya mwanamuziki na mwanaharakati maarufu Haacaaluu Hundeessaa.
-
Jeshi lasambazwa Addis Ababa baada ya mauaji ya watu 80
Jul 02, 2020 03:09Jeshi la Ethiopia limesambazwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Addis Ababa kwa shabaha ya kudhibiti machafuko yaliyosababisha vifo vya watu wasiopingua 80.
-
52 wauawa katika maandamano ya kulaani mauaji ya mwanaharakati Ethiopia
Jul 01, 2020 21:52Makumi ya watu wameuawa katika maandamano ya ghasia yaliyoibuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa baada ya muimbaji ya mwanaharakati mashuhuri kupigwa risasi na kuuawa.
-
Misri yakosoa tena misimamo ya Ethiopia kuhusu Bwawa la Renaissance
Jul 01, 2020 02:09Serikali ya Misri imekosoa utendaji na mienendo ya Ethiopia kuhusiana na ujenzi wa Bwawa la Renaissance (al Nahdha) juu ya Mto Nile lakini imeeleza kwamba, ina matumaini na matokeo ya mazungumzo yaliyopangwa kusimamiwa na Umoja wa Afrika kujadili kadhia hiyo.
-
Ghasia na maandamano Ethiopia baada ya mwanaharakati kuuawa
Jun 30, 2020 11:30Ghasia zimeibuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa baada ya muimbaji na mwanaharakati mashuhuri kupigwa risasi na kuuawa.
-
Mgogoro wa Bwawa la Renaissance waingia Baraza la Usalama, Ethiopia yatahadharisha
Jun 29, 2020 23:15Mgogoro wa Bwawa la Renaissance (Al Nahdha) baina ya Misri, Sudan na Ethiopia umewekwa rasmi kwenye meza ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Misri kuwasilisha muswada huo kwa ajili ya kujadiliwa na wanachama wa baraza hilo.