-
UN: Watu 183 wameuawa katika mapigano Amhara, Ethiopia
Aug 30, 2023 08:16Umoja wa Mataifa umesema kwa akali watu 183 wameuawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia.
-
Baada ya vita na wanamgambo waasi, jeshi la Ethiopia linadhibiti tena miji mikubwa ya Amhara
Aug 10, 2023 07:25Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa imekomboa miji mikubwa katika eneo la Amhara kutoka kwa "magenge la wanamgambo waasi", baada ya siku kadhaa za vita kati ya jeshi la serikali kuu na wanamgambo wa eneo hilo.
-
Ethiopia yawatuhumu wanamgambo wa Amhara kuwa wanataka kupindua serikali
Aug 07, 2023 11:29Afisa wa ngazi ya juu wa Ethiopia amewatuhumu wanamgambo katika eneo la Amhara kuwa wanataka kupindua serikali za jimbo na ya shirikisho kufuatia mapigano ya siku kadhaa mtawalia ambayo yamepelekea mamlaka za uongozi kutangaza hali ya hatari.
-
Ethiopia yatuma maombi ya kujiunga na BRICS
Jul 01, 2023 04:46Ethiopia, ambayo ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi barani Afrika imeomba kujiunga na jumuiya ya BRICS ya chumi zinazoinukia. Haya yameelezwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo.
-
Ethiopia kuzindua awamu ya nne ya ujazaji maji katika bwawa lenye mvutano
Jun 23, 2023 07:33Ethiopia inajiandaa kuanzisha awamu ya nne ya kujaza maji katika hifadhi ya bwawa lake kubwa katika Blue Nile. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo licha ya upinzani wa jirani yake Misri.
-
Ethiopia yawatimua Waganda waliohadaiwa kwenda 'kuonana' na Yesu
Jun 13, 2023 07:27Mamlaka za Ethiopia zimewarejesha nyumbani raia 80 wa Uganda ambao walitapeliwa fedha zao kwa ahadi kwamba watapelekwa kukutana na Yesu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Ethiopia yapinga tuhuma za maangamizi ya kizazi huko Tigray Magharibi
Jun 07, 2023 10:30Serikali ya Ethiopia imepinga ripoti iliyotolewa na Shirika la Haki za Binadamu la (HRW) iliyodai kuwa kampeni ya maangamizi ya kizazi imefanyika huko Tgray Magharibi licha ya kutiwa saini makubaliano ya amani mwezi Novemba mwaka jana.
-
Wawili wauawa katika maandamano ya kupinga kubomolewa misikiti zaidi ya 19 Ethiopia
May 27, 2023 10:49Watu wawili wameuawa wakati askari polisi walipowashambulia Waislamu walioandamana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kupinga kubomolewa misikiti yao zaidi ya 19 katika eneo la kandokando ya mji huo.
-
Waasi wa Oromo wa Ethiopia wavituhumu vikosi vya serikali kwa kufanya mashambulizi
May 18, 2023 01:07Waasi katika jimbo la Oromia nchini Ethiopia wameituhumu serikali kuu ya nchi hiyo kuwa imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi yao baada ya mazungumzo ya amani kati ya pande mbili kumalizika bila kufikia mapatano.
-
Makumi watiwa nguvuni Ethiopia baada ya mauaji ya afisa wa chama tawala
May 01, 2023 07:10Askari usalama wa Ethiopia wametangaza kuwa wamewakamata watu 47 kufuatia mauaji ya afisa wa chama tawala nchini humo.