Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Makumi watiwa nguvuni Ethiopia baada ya mauaji ya afisa wa chama tawala

    Makumi watiwa nguvuni Ethiopia baada ya mauaji ya afisa wa chama tawala

    May 01, 2023 03:40

    Askari usalama wa Ethiopia wametangaza kuwa wamewakamata watu 47 kufuatia mauaji ya afisa wa chama tawala nchini humo.

  • WFP inachunguza wizi wa chakula cha msaada nchini Ethiopia

    WFP inachunguza wizi wa chakula cha msaada nchini Ethiopia

    Apr 11, 2023 22:42

    Shirika la Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP) linachunguza wizi wa misaada ya chakula ulioripotiwa katika oparesheni za kibinadamu huko Ethiopia.

  • Ethiopia kuunganisha vikosi vya majimbo ya kikanda katika jeshi la taifa na polisi

    Ethiopia kuunganisha vikosi vya majimbo ya kikanda katika jeshi la taifa na polisi

    Apr 10, 2023 08:05

    Serikali ya Ethiopia imesema kuwa inakusudia kujumuisha vikosi vyote maalumu vya majimbo ya kikanda ima katika jeshi la taifa, au polisi ya shirikisho au majimbo; hatua ambayo inaweza kuhesabiwa kama mpango wa kuyapunguzia mamlaka majimbo yanayosimamia mambo yake yenyewe.

  • Hafla kubwa zaidi ya futari yafanyika Ethiopia

    Hafla kubwa zaidi ya futari yafanyika Ethiopia

    Apr 09, 2023 08:00

    Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Ethiopia limefanya hafla kubwa zaidi ya Iftar katika uwanja wa Al-Thaura mjini Addis Ababa, mji mkuu wa nchi hiyo, wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Ethiopia yaunda serikali ya mpito katika eneo la Tigray

    Ethiopia yaunda serikali ya mpito katika eneo la Tigray

    Mar 24, 2023 03:40

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza habari ya kuundwa serikali ya mpito katika eneo la Tigray la kaskazini mwa nchi, kama sehemu ya utekelezaji wa makubakubaliano ya amani.

  • Bunge la Ethiopia limeiondoa harakati ya wapiganaji wa Tigray kwenye orodha ya magaidi

    Bunge la Ethiopia limeiondoa harakati ya wapiganaji wa Tigray kwenye orodha ya magaidi

    Mar 23, 2023 03:58

    Bunge la Ethiopia imeondoa katika orodha ya makundi ya kigaidi Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray TPLF ya kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Tume ya Ethiopia: Waasi wa OLA wameua makumi ya raia 50 Oromiya

    Tume ya Ethiopia: Waasi wa OLA wameua makumi ya raia 50 Oromiya

    Feb 16, 2023 23:20

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Ethiopia (EHRC) imesema kwa akali raia 50 wameuawa na kundi la waasi linalojiita Jeshi la Ukombozi wa Oromo (OLA) katika eneo la Oromiya, magharibi mwa nchi.

  • Afwerki: Madai kwamba Eritrea imekiuka haki za binadamu Tigray, ni njozi tupu

    Afwerki: Madai kwamba Eritrea imekiuka haki za binadamu Tigray, ni njozi tupu

    Feb 09, 2023 23:24

    Rais wa Eritrea Isaias Afwerki jana Alhamisi aliyataja madai ya kukiukwa haki za binadamu kulikofanywa na wanajeshi wa Eritrea katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia wakati wa vita vya miaka miwili katika eneo hilo kuwa ni njozi tupu.

  • Shirika la ndege la Ethiopia kuanza tena safari zake huko Tigray

    Shirika la ndege la Ethiopia kuanza tena safari zake huko Tigray

    Dec 27, 2022 11:30

    Shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) limetangaza kuwa linaanza tena safari zake katika eneo la Tigray lililoathiriwa na machafuko huko kaskazini mwa Ethiopia sambambana eneo hilo kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme na kurejeshewa huduma za simu na nyinginezo.

  • Ethiopia yatuma ujumbe Tigray kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya amani

    Ethiopia yatuma ujumbe Tigray kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya amani

    Dec 26, 2022 23:01

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa timu ya serikali ya Ethiopia umeelekea Tigray kaskazini mwa nchi hiyo kwa ajili ya mazungumzo ya kutekeleza makubaliano ya amani ili kuhitimisha mzozo wa miaka miwili kati ya serikali ya Addis Ababa na Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS