-
FAO: Idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka
Jul 06, 2019 08:18Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake kwamba, idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka.
-
FAO: Dagaa ni muhimu katika kumaliza njaa Afrika
Jun 27, 2019 02:24Shirika la Chakula na Kilimo Duniani, FAO limesema utafiti mpya umebaini umuhimu mkubwa wa samaki wadogo kama vile dagaa katika kumaliza tatizo la njaa na kuinua kipato kwa wakazi wa bara la Afrika.
-
FAO: Watu milioni 820 duniani wanakabiliwa na uhaba wa chakula na lishe duni
Nov 29, 2018 07:45Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusiana na uhaba wa chakula pamoja na lishe duni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Watoto milioni 108 duniani wanashiriki kazi zinazohatarisha afya na usalama wao
Jun 13, 2018 02:41Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani limesema baaada ya miaka mingi ya kupungua, sasa ajira ya watoto katika kilimo imeanza kuongezeka tena ikichochewa na migogoro na majanga yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
-
FAO yasema vyama vya ushirika vinaweza kuimarisha kilimo Afrika
Jun 02, 2018 13:45Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa FAO linasema sekta ya ukulima Afrika inaweza kustawishwa zaidi iwapo mkulima wa kijijni naye atajengewa uwezo kupitia vyama vya ushirika.
-
FAO yatoa indhari kuhusu ongezeko la watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani
Mar 24, 2018 04:35Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limetangaza kuwa idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani iliongezeka kwa asilimia 15 katika mwaka uliopita wa 2017.
-
FAO yatahadharisha kuhusu kuzidi ukosefu wa usalama wa chakula Yemen
Mar 01, 2018 07:30Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kwamba, hali ya ukosefu wa usalama wa chakula inazidi kuwa mbaya huko nchini Yemen.
-
FAO: Zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na njaa barani Afrika
Feb 25, 2018 02:48Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na baa la njaa barani Afrika.
-
FAO yataka uwekezaji zaidi katika kupambana na njaa na umasikini
Jan 05, 2018 03:51Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji zaidi katika uga wa kupambana na umasikini na njaa ulimwenguni.
-
FAO: Uhaba wa chakula katika nchi nyingi duniani unatia wasiwasi
Dec 08, 2017 07:50Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limebainisha wasiwasi wake kuhusu uhaba wa chakula katika nchi nyingi duniani.