Pars Today
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuungwa mkono na kusaidiwa wazalishaji wadogo ili kukabiliana na tatizo la njaa ulimwenguni.
Leo ni Jumatatu tarehe 25 Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 16, 2017.
Shirika Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, idadi ya watu wanaosumbuliwa na njaa duniani imeongezeka na kufikia watu milioni 815.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji wa kudumu katika nchi ya Uganda iliyoko katika eneo la Afrika Mashariki.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusu ongezeko la vifo vya watu kutokana na ukame na njaa katika maeneo ya mashariki mwa Afrika.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha katika ripoti yake kuwa kuna ongezeko la kutia wasiwasi la watu wanaohitaji misaada ya haraka ya kibinadamu katika nchi za mashariki mwa Afrika.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa, watu milioni 20 wanasumbuliwa na njaa na utapiamlo kote duniani.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetibu mifugo zaidi ya milioni 12 chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa shabaha ya kudhibiti makali ya ukame na baa la njaa nchini Somalia.
Maradhi hatari yanayoambukiza yanasambaa miongoni mwa samaki aina ya sato au tilapia, moja ya samaki muhimu na mashuhuri kwa matumizi ya binadamu.