-
Russia yafunga maelfu ya tovuti za Intaneti kwa sababu za ugaidi
Dec 11, 2019 22:48Serikali ya Russia imetangaza kuwa, tangu kuanza mwaka huu wa 2019 hadi hivi sasa imeshafunga mitandao 50 elfu ya Intaneti kutokana na kueneza taarifa za kigaidi nchini humo.
-
Magaidi 19 wauawa katika oparesheni ya jeshi la Mali
Nov 18, 2019 03:56Jeshi la Mali ilimetangaza kuwa limewauwa magaidi 19 katika oparesheni zake mbili katikati mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 32 waaangamizwa katika operesheni mbili tofauti nchini Burkina Faso
Nov 17, 2019 23:04Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa, limewaua kwa akali magaidi 32 katika operesheni mbili tofauti kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Magaidi 13 wauawa katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri
Oct 29, 2019 12:23Maafisa wa serikali ya Misri wametangaza kuwa magaidi 13 wameuawa katika mapigano yaliyojiri baina yao na askari usalama katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini humo.
-
Mauaji ya kigaidi yaongezeka Iraq baada ya Marekani kuwahamishia nchini humo magaidi wa ISIS
Oct 25, 2019 03:42Mauaji ya kigaidi yameongezeka dhidi ya maafisa wa serikali ya Iraq baada ya Marekani kuwahamishia nchini humo magaidi wa Daesh (ISIS) kutoka kaskazini mwa Syria kufuatia kushadidi mashambulizi ya Uturuki huko Syria.
-
Baada ya kutupwa mkono na Marekani, sasa Wakurdi wa Syria wajiandaa kujiunga na serikali
Oct 08, 2019 23:02Kamanda Mkuu wa Wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria ameelezea uwezekano wa kushirikiana na serikali ya Damascus kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Uturuki dhidi ya maeneo ya mpakani kaskazini mwa Syria.
-
Wanamgambo wa Kikurdi wa Syria wanatumia maelfu ya shule kama makao ya kijeshi
Sep 26, 2019 23:09Wanamgambo wa Kikurdi kwa jina la Vikosi vya Kidemokrasia vya Syria wanaoungwa mkono na Marekani hadi kufikia sasa wamefunga shule zaidi ya elfu mbili katika mkoa wa Hasaka. Aidha wamezigeuza baadhi ya shule hizo kuwa makao yao ya kijeshi.
-
Maiti za zaidi ya wahanga elfu 12 wa Daesh zagunduliwa katika makaburi ya umati, Iraq
Aug 31, 2019 22:12Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu nchini Iraq imetangaza kuwa, maiti elfu 12 za wahanga wa ukatili na jinai za kundi la kigaidi la Daesh zimegunduliwa katika zaidi ya makaburi 200 ya umati.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria
Jul 07, 2019 03:18Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Syria: Magenge ya kigaidi yameharibu maelfu ya maeneo ya kihistoria
Jun 11, 2019 09:34Idara ya Majumba ya Makumbusho na Athari za Kihistoria ya Syria imetangaza kwamba, kwa akali maeneo elfu 10 ya kihistoria ya nchi hiyo yako katika hatari ya kutokomezwa na kuporwa.