-
Mshindi wa uchaguzi nchini Gambia aitaka jumuiya ya ECOWAS imuondoe Jameh
Jan 03, 2017 13:48Mshindi wa uchaguzi wa rais uliomalizika hivi karibuni nchini Gambia, ameitaka Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS kutumia uwezo wake katika kumkinaisha Yahya Jammeh kukubali matokeo.
-
Gambia yafunga vituo viwili vya radio katika mgogoro wa baada ya uchaguzi
Jan 03, 2017 02:31Maafisa wa usalama Gambia wamefunga vituo viwili vya radio binafsi karibu na mji mkuu Banjul huku nchi hiyo ikikumbwa na mgogoro wa baada ya uchaguzi.
-
Kuendelea juhudi za kumshawishi Jammeh akabidhi madaraka kwa amani Gambia
Dec 29, 2016 02:44Mivutano ya kisiasa ya baada ya uchaguzi wa rais nchini Gambia ingali inaendelea huku Mahakama Kuu ya nchi hiyo ikisubiriwa kutangaza uamuzi wake kuhusiana na malalamiko yaliyowasilishwa na Rais Yahya Jammeh ya kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
-
Umoja wa Mataifa wamtaka Jammeh akabidhi madaraka Gambia
Dec 23, 2016 07:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtaka Rais wa Gambia amkabidhi madaraka kwa amani Rais mteule wa nchi hiyo.
-
Mahakama Gambia kusikiza kesi ya uchaguzi Januari 10
Dec 22, 2016 06:56Mahakama ya Kilele ya Gambia imeakhirisha hadi Januari 10 mwakani kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais iliyowasilishwa na Rais Yahya Jammeh anayetaka matokeo ya uchaguzi yabatilishwe.
-
Upinzani Gambia: Jammeh atageuka na kuwa kiongozi wa waasi nchini
Dec 19, 2016 07:38Upinzani nchini Gambia umemtahadharisha Yahya Jammeh, rais wa nchi hiyo aliyekataa matokeo ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni kuwa yumkini akageuka na kuwa kiongozi wa waasi akiendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Uwezekano wa Jammeh kuondolewa kwenye kiti cha urais kwa nguvu za kijeshi
Dec 17, 2016 07:17Rais wa Senegal amesema kuna uwezekano rais wa Gambia kuondolewa kwa nguvu za jeshi katika kiti cha urais baada ya kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi.
-
UN yataka Jeshi la Gambia liondoke katika jengo la tume ya uchaguzi
Dec 15, 2016 04:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeondoka Ban Ki-moon amesema amefedheheshwa na hatua ya jengo la tume huru ya uchaguzi nchini Gambia IEC, kuwekwa chini ya ulinzi wa jeshi la nchi hiyo.
-
Mafunzo ya Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Gambia
Dec 15, 2016 04:30Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.
-
Ellen Sirleaf: Yahya Jammeh hayuko tayari kuachia madaraka
Dec 14, 2016 07:37Wakuu wa nchi za magharibi mwa Afrika ambao wamefanya safari huko Gambia kwa lengo la kusuluhisha mgogoro wa ndani uliojitokeza, jana walitangaza kuwa jitihada zao za kumshawishi Yahya Jammeh akabidhi madaraka bado hazijazaa matunda.