-
Picha za watawala wa Bahrain na Imarati zachomwa moto Ghaza, Palestina
Sep 13, 2020 03:11Wakazi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina wamechoma moto picha za watawala wa Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza
Aug 25, 2020 03:28Wapalestina wanne wameuawa shahidi baada ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Palestina huko mashariki mwa Ukanda wa Gaza.
-
Jumatatu tarehe 17 Agosti mwaka 2020
Aug 16, 2020 21:58Leo ni Jumatatu tarehe 27 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020.
-
HAMAS yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jun 27, 2020 07:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza yatazidi kuufanya muqawama ushikilie msimamo wake wa kupinga njama za Israel za kuteka ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Vyama vya siasa na mashirika ya Norway yataka kuhitimishwa mzingiro wa Gaza
May 10, 2020 19:53Vyama vya kisiasa na mashirika 58 ya Norway yametoa mwito wa kufutwa haraka mzingiro wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, hususan katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Risasi za jeshi la Israel zawapofusha Wapalestina 21 Ukanda wa Gaza
Feb 27, 2020 09:41Kituo cha Haki za Binadamu cha Beytulahm (Bethlehem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kimeripoti kuwa, Wapelestina 21 katika Ukanda wa Gaza wamesababishiwa upofu na ufyatuaji risasi wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya miaka miwili iliyopita.
-
Utawala wa katili wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Jan 17, 2020 08:46Helikopta ya utawala wa Kizayuni wa Israel imevurumisha makombora ambayo yamelenga vituo vya makundi ya wapigania ukombozi (wanamuqawama) wa Palestina katika eneo la mashariki mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Wanaharakati waandamana Chicago, Marekani kulaani hujuma za Israel, Gaza
Nov 22, 2019 23:08Makumi ya wanaharakati wamefanya maandamano katika mji wa Chicago jimboni Illinois nchini Marekani, kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na ndege za jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Tutalipiza kisasi cha damu za mashahidi wote wa Ukanda wa Ghaza
Nov 18, 2019 23:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa harakati hiyo itaendeleza mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni na italipigiza kisasi cha damu yote ya wananchi wa Palestina iliyomwagwa na Israel huko Ghaza.
-
Mashambulizi ya anga ya Israel yaua shahidi makumi ya Wapalestina Gaza
Nov 13, 2019 23:13Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumanne na kwa siku ya pili mfufulizo zilitekeleza mashambulizi ya anga zaidi ya 50 katika Ukanda wa Gaza, na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.