Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • UNHRC lapitisha azimio la kutumwa haraka Gaza timu ya wachunguzi wa jinai za vita

    UNHRC lapitisha azimio la kutumwa haraka Gaza timu ya wachunguzi wa jinai za vita

    May 19, 2018 03:41

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) limepiga kura ya kutaka wachunguzi wa kimataifa wa jinai za vita wapelekwe haraka Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa Israel.

  • Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    May 18, 2018 23:44

    Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

  • Mkuu wa haki za binadamu wa UN ataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel

    Mkuu wa haki za binadamu wa UN ataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel

    May 18, 2018 09:30

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanywa uchunguzi huru juu ya mauaji ya raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Ghaza yaliyofanywa hivi karibuni na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.

  • Israel yakasirishwa na taarifa ya Baraza la Haki za Binadamu kuhusu mauaji ya raia Ghaza

    Israel yakasirishwa na taarifa ya Baraza la Haki za Binadamu kuhusu mauaji ya raia Ghaza

    May 17, 2018 09:35

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametaka Israel iondoke haraka katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia kulaaniwa utawala huo katika kikao cha baraza hilo.

  • Mtoto wa miezi 8 ni mmoja wa Wapalestina waliouawa na jeshi katili la Israel

    Mtoto wa miezi 8 ni mmoja wa Wapalestina waliouawa na jeshi katili la Israel

    May 16, 2018 03:21

    Mtoto mwenye umri wa miezi minane tu ni mmoja wa wahanga wa ukatili wa hivi punde wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Arab League yaitisha kikao cha dharura kujadili mauaji ya umati ya Wapalestina

    Arab League yaitisha kikao cha dharura kujadili mauaji ya umati ya Wapalestina

    May 16, 2018 03:00

    Huku nchi mbalimbali za dunia zikiendelea kulaani vikali mauaji ya umati yaliyofanywa na askari wa utawala bandia wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeaitisha kikao cha dharura kujadili ukatili huo.

  • Wito wa Hamas katika kukaribia mwaka wa 70 wa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina

    Wito wa Hamas katika kukaribia mwaka wa 70 wa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina

    May 13, 2018 22:37

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa taarifa katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 70 tangu kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina yaani tarehe 15 Mei na kuwatolea mwito wananchi wa Palestina kushiriki kwa wingi katika maandamano ya "Haki ya Kurejea" huko Quds, katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan, Ukanda wa Ghaza na ardhi za Palestina zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948.

  • Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina

    Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina

    Apr 28, 2018 03:07

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liuchukulie hatua mara moja utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuwaua shahidi Wapalestina wanaofanya maandamano ya amani katika mpaka wa Ghaza.

  • Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Apr 27, 2018 09:22

    Mkuu wa masuala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia nguvu ziada dhidi ya waandamanaji Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza jambo ambalo limepelekea makumi kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Apr 20, 2018 23:40

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS