-
Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe
Jan 25, 2020 23:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mpango uliojaa njama wa Marekani-Israel wa Muamala wa Karne utekelezwe na kufikia malengo yake machafu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza
Dec 26, 2019 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea + Video
Dec 26, 2019 08:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Kufanyika uchaguzi Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel
Dec 25, 2019 21:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi katika mji wa Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapasa kufahamishwa suala hilo.
-
HAMAS yakaribisha kuanza upya harakati za UNRWA
Dec 14, 2019 08:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekaribisha hatua ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA kuongeza kwa miaka mitatu zaidi muda wa kutoa huduma kwa wakimbizi wa Palestina.
-
Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS al-Khalil
Dec 12, 2019 21:13Vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel vimeendeleza chokochoko zake kwa kuwatia mbaroni viongozi kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini al-Khalil (Hebron), katika Ukiongo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa
Dec 11, 2019 04:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuhusu vitendo vya walowezi wa Kizayuni vya kuendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas: Madai ya usitishaji vita wa muda mrefu ni propaganda za uchaguzi za utawala wa Kizayuni
Dec 05, 2019 04:38Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja tetesi iliyoenea katika vyombo vya habari vya Kizayuni kuhusu jitihada za utawala huo za kufikia makubaliano ya usitishaji vita ya muda mrefu na Ukanda wa Ghaza kuwa ni propaganda za uchaguzi.
-
Mapatano ya kitaifa ya Wapalestina kwa ajili ya kufanyika uchaguzi huko Palestina
Nov 11, 2019 04:25Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kuna mapatano ya kitaifa kwa ajii ya kufanyika uchaguzi wa bunge na wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Mjumbe wa UN apongeza misimamo ya Hamas kuhusu uchaguzi
Nov 05, 2019 11:00Mratibu Maalumu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya Mashariki ya Kati amepongeza misimamo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kuhusu suala la kuitishwa uchaguzi mkuu huko Palestina.