-
Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama
Sep 19, 2018 10:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, taifa la Palestina limeazimia kwamba, litasimama kidete kukabiliana na mzingiro wa adui Mzayuni hadi pale litakapousambaratisha.
-
Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza
Sep 16, 2018 03:03Afisa anayehusika na masuala ya uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa harakati hiyo inafanya jitihada maalumu ili kuhitimisha mzingiro na kuifanya tulivu hali ya mambo huko Ghaza na kwamba hakuna upande unaoweza kupinga au kukabiliana na mchakato huo.
-
Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Sep 13, 2018 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel juu ya hatari ya kuendelea kuuvinjia heshima Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusisitiza kuwa utawala huo dhalimu ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea.
-
HAMAS: Matamshi ya Rais Mahmoud Abbas sio msimamo wa taifa la Palestina
Aug 29, 2018 23:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, matamshi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katu hayaakisi msimamo wa wananchi wa taifa hilo madhulumu.
-
Hamas yataka kuendeleza maandamano ya Kurejea
Aug 10, 2018 11:49Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas amesisitiza kuwa wananchi wa Palestina wataendelea kufanya maandamano makubwa ya "Haki ya Kurejea" hadi pale malengo yao yatakapofanikishwa na kuvunjwa mzingiro wa Ghaza.
-
HAMAS: Hatuko tayari kulipa gharama yoyote ya kisiasa ili kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza
Aug 09, 2018 03:28Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, harakati hiyo haiko tayari kulipa gharama yoyote ile ya kisiasa mkabala na kuondolewa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel wa zaidi ya miaka 12 dhidi ya Ukanda wa wa Gaza.
-
HAMAS: Shambulio dhidi ya wanamapambano wa Muqawama halitaachwa bila kujibiwa
Aug 07, 2018 23:45Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema shambulio la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza dhidi ya kituo cha brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la harakati hiyo ambalo limesababisha kuuawa shahidi wanamapambano wawili wa Muqawama halitaachwa bila kujibiwa.
-
Harakati ya Fat-h yaafiki mpango wa maridhiano ya kitaifa
Aug 01, 2018 21:57Mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni mkuu wa kamati ya ufuatiliaji maridhiano ya kitaifa wa harakati ya Fat-h amesema harakati hiyo imetoa jibu chanya la maandishi kwa maafisa wa Misri kuhusiana na mapendekezo yaliyowasilishwa na nchi hiyo kuhusu maridhiano ya kitaifa ya Palestina.
-
Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza
Jul 17, 2018 02:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.
-
Balozi wa Qatar Palestina: Hamas sasa ina nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma
Jul 10, 2018 23:38Balozi wa Qatar huko Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni unapasa kukubali matakwa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu eneo la Ukanda wa Ghaza kwa sababu harakati hiyo sasa iko imara zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.