-
Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha
Mar 14, 2016 04:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya walimwengu wasitilie maanani na kuzingatia mapambano ya Intifadha ya Quds Tukufu.
-
HAMAS kuendeleza juhudi za kuleta umoja baina ya Wapalestina
Mar 07, 2016 23:42Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo itaendelea kufanya juhudi ili ufikiwe umoja na kukombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Hamas yaionya Israel kuhusu vita
Feb 26, 2016 23:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kuibuka tetesi kuwa utawala huo unapanga kuanzisha vita vipya dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa nguvu Intifadha ya Palestina
Feb 11, 2016 03:51Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 nchini Iran yameishajiisha na kuipa nguvu Intifadha na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel ambao unazikalia ardhi za Wapalestina kwa mabavu.
-
Mashauriano baina ya Fat'h na Hamas ya kufikia maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Feb 08, 2016 03:44Wakati mashauriano yanaendelea baina ya harakati za Hamas na Fat'h kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina, wawakilishi wa Fat'h kwenye vikao vya mashauriano wametoa masharti mapya kwa ajili ya kufikiwa maridhiano hayo ambayo yamekabiliwa na radiamali ya harakati ya Hamas.
-
Hamas yataka kuungwa mkono Muhammad al Qiq
Feb 07, 2016 04:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imewatolea mwito wananchi wa Palestina kushiriki kwa wingi katika maandamano ya kumuunga mkono mwandishi habari wa Kipalestina aliyeko katika jela ya Israel huku akiwa amegoma kula.