-
Alkhamisi tarehe 16 Julai mwaka 2020
Jul 16, 2020 13:24Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Mfunguo Pili Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Julai 16 mwaka 2020.
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya matatizo yote ya Asia Magharibi
Jul 12, 2020 03:19Mkuu wa Baraza la Shuraa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya kupata matatizo nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Sayyid Nasrullah: Iran imeweza kupiga hatua licha ya vikwazo
Jul 08, 2020 03:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kupiga hatua za maendeleo na ustawi licha ya vikwazo na mashinikizo ya maadui.
-
Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina
Jul 07, 2020 03:32Harakati za muqawama wa Kiislamu za Hamas ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon zimepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa na kughusubu ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza kuwa, uporaji huo ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Wapalestina.
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia
May 27, 2020 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza
May 20, 2020 22:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.
-
Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel
May 20, 2020 22:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama imejiandaa vilivyo na ipo tayari kikamilifu kukabiliana na uvamizi na chokochoko zozote za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia
May 04, 2020 02:45Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.
-
Mshikamano wa muqawama Asia Magharibi dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusiana na Hizbullah ya Lebanon
May 03, 2020 02:59Mhimili wa muqawama katika eneo mla Asia Magharibi umechukua msimamo mmoja wa kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 02, 2020 06:22Vyama na makundi tofauti ya Lebanon, Syria na Palestina vimeitaja hatua ya Ujerumani ya kuitangaza Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni kusalimu amri kwa njia ya kujidhalilisha nchi hiyo ya Magharibi kwa amri za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.