-
Hizbullah yaendelea kuyatwanga maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora
Oct 11, 2024 02:38Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umeendelea kutoa vipigo vikali kwa walowezi wa Kizayuni kwa kuyashambulia kwa makombora maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel na maeneo mengine muhimu ya Wazayuni kama Haifa.
-
Sheikh Qassim: Hakuna shaka Hizbullah itamshinda adui Mzayuni
Oct 08, 2024 11:43Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyofanywa na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS na makundi mengine ya mapambano yenye makao yao makuu huko Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa, operesheni hiyo iliashiria mwanzo wa kubadilisha taswira ya eneo la Asia Magharibi kwa kuyahusisha makundi ya Muqawama.
-
Hizbullah yaipiga kambi ya kijeshi ya Israel kwa makombora ya Fadi-1
Sep 30, 2024 02:27Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesema imevurumisha makombora ya Fadi-1 dhidi ya kambi ya jeshi la Israel katika maeneo ya kaskazini yanayokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora
Sep 26, 2024 06:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi watu wasiopungua 72 na kuwajeruhi wengine 400 nchini Lebanon katika siku ya tatu mtawalia ya mashambulizi ya kiwendawazimu unayofanya katika ardhi ya nchi hiyo sambamba na makabiliano yanayoendelea baina yake na harakati ya Muqawama ya Hizbullah.
-
Sheikh Naeem Qasim: Marekani ni mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 23, 2024 07:09Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ni mshirika wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Askari kadhaa wa Israel waangamizwa katika mashambulizi ya Hizbullah
Sep 19, 2024 14:09Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Tehran, Beirut zajadili jinai mpya ya kigaidi ya Israel huko Lebanon
Sep 18, 2024 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amelaani vikali hujuma mpya ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni iliyowalenga raia wasio na hatia nchini Lebanon.
-
Hizbullah: Hakuna shaka tutatoa jibu kwa mauaji ya kigaidi ya Israel
Aug 16, 2024 10:43Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imesisitiza azma yake ya kulipiza kisasi cha mauaji ya Israel dhidi ya kamanda mwandamizi wa kundi hilo la Mapambano ya Kiislamu, licha ya juhudi za Marekani za kuukingia kifua utawala huo wa Kizayuni na kutaka kuuepusha na matokeo mabaya ya jinai zake.
-
Muqawama: Kuchaguliwa Sinwar kunaonyesha Israel imeshindwa kufikia malengo yake
Aug 07, 2024 10:51Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema hatua ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kutangaza kumteua Yahya Sinwar kuwa mrithi wa Ismail Haniyah, aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS, kwa mara nyingine tena inathibitisha kuwa, malengo ya Wazayuni ya kuwaua kigaidi viongozi wa muqawama yamegonga mwamba.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kamandi ya utawala katili wa Israel
Aug 05, 2024 07:26Hizbullah ya Lebanon imelenga makao ya Kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni huko Eilat katika shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kwa kutumia ndege kadhaa zisizo na rubani.