-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 06:54Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jul 18, 2024 09:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetangaza kufanya shambulio la makombora katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Nasrullah: Kuuawa shahidi 'ni sehemu ya utamaduni wetu ili kulinda mataifa yetu'
Jul 12, 2024 11:32Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ametilia mkazo wajibu kupambana na kuwa tayari kuuliwa shahidi katika kulinda madola ya Kiislamu dhidi ya uvamizi na kukaliwa kwa mabavu na maadui.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kuongoza operesheni za kijeshi za Utawala wa Kizayuni
Jul 06, 2024 06:38Hizbullah ya Lebanon ililenga makao makuu ya kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 05, 2024 02:17Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 06:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Gazeti la Kizayuni la Haaretz: Vita na Hizbullah ni "kujitia kitanzi"
Jul 01, 2024 02:22Gazeti moja la Kizayuni linalochapishwa mjini Tel Aviv limetabiri kuwa, matokeo ya vita vikubwa kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon ni sawa na kujitia kitanzi Israel na kushindwa vibaya sana.
-
Arab League yaiondoa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jun 30, 2024 06:56Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetangaza habari ya kuiondoa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha yake ya 'mashirika ya kigaidi'.
-
Kamanda mwingine wa Hizbullah auawa shahidi na droni ya Wazayuni Lebanon
Jun 18, 2024 08:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inatazamiwa kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya ngome za walowezi wa Kizayuni, baada ya kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la muqawama kuuawa shahidi kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah yayatwanga tena kwa makombora maeneo ya Wazayuni
Jun 16, 2024 02:44Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio mapya dhidi ya maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuuni ikiwa ni kujibu mauaji ya hivi karibuni ya Israel ya kamanda mmoja mkubwa wa harakati hiyo huko kusini mwa Lebanon.