-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kamandi ya utawala katili wa Israel
Aug 05, 2024 03:56Hizbullah ya Lebanon imelenga makao ya Kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni huko Eilat katika shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kwa kutumia ndege kadhaa zisizo na rubani.
-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 03:24Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jul 18, 2024 06:08Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetangaza kufanya shambulio la makombora katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Nasrullah: Kuuawa shahidi 'ni sehemu ya utamaduni wetu ili kulinda mataifa yetu'
Jul 12, 2024 08:02Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ametilia mkazo wajibu kupambana na kuwa tayari kuuliwa shahidi katika kulinda madola ya Kiislamu dhidi ya uvamizi na kukaliwa kwa mabavu na maadui.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kuongoza operesheni za kijeshi za Utawala wa Kizayuni
Jul 06, 2024 03:08Hizbullah ya Lebanon ililenga makao makuu ya kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 04, 2024 22:47Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 03:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Gazeti la Kizayuni la Haaretz: Vita na Hizbullah ni "kujitia kitanzi"
Jun 30, 2024 22:52Gazeti moja la Kizayuni linalochapishwa mjini Tel Aviv limetabiri kuwa, matokeo ya vita vikubwa kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon ni sawa na kujitia kitanzi Israel na kushindwa vibaya sana.
-
Arab League yaiondoa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jun 30, 2024 03:26Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetangaza habari ya kuiondoa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha yake ya 'mashirika ya kigaidi'.
-
Kamanda mwingine wa Hizbullah auawa shahidi na droni ya Wazayuni Lebanon
Jun 18, 2024 04:36Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inatazamiwa kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya ngome za walowezi wa Kizayuni, baada ya kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la muqawama kuuawa shahidi kusini mwa Lebanon.