-
Hizbullah ya Lebanon: Kufukuzwa Marekani nchini Iraq ni mwanzo wa mwisho wa uwepo wa kijeshi wa Washington Asia Magharibi
Oct 03, 2026 02:55Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, imesema katika taarifa yake kwamba, kufukuzwa majeshi ya Marekani kutoka katika ardhi ya Iraq ni mafanikio ya kihistoria na ushindi mkubwa.
-
Mbunge wa Hizbullah: Israel haina uwezo wa kuufuta Muqawama, utaendelea kuwa thabiti
Sep 21, 2026 10:32Hassan Fadhlullah, mbunge wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon na mwanachama wa mrengo wa Uaminifu kwa Muqawama katika bunge hilo, ametoa wito kwa wananchi kusimama imara na kuwa na subira na kusisitiza kwamba, kama alivyousia na kutilia mkazo Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah Muqawama utabaki kuwa thabiti na kwamba suala la kuufuta na kuuangamiza ni dhana na mawazo hewa tu.
-
Sheikh Naim Qassim: Mazungumzo ya moja kwa moja ya Lebanon na Israel hayana tija yoyote isipokuwa aibu na fedheha
Aug 04, 2026 10:28Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Lebanon na Israel hayajakuwa na matokeo yoyote isipokuwa aibu na fedheha.
-
Kiongozi Muadhamu: Uimara wa Hizbullah ni ujumbe kwa mataifa huru
Jul 27, 2026 03:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameisifu harakati ya Hizbullah kwa msimamo wake thabiti na usioyumba katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, kuwa uimara wa harakati hiyo ya Lebanon ni ujumbe wenye nguvu wa ukombozi kwa mataifa yaliyodhulumiwa duniani kote.
-
Alkhamisi, tarehe 16 Julai, 2026
Jul 16, 2026 03:15Alkhamisi tarehe Mosi Safar 1448 Hijria, sawa na Julai 16 mwaka 2026.
-
Kiongozi wa Hizbullah: Israel italazimika kuondoka Lebanon “ikiwa imedhalilika”
Jun 27, 2026 02:59Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, amesema kuwa Israel italazimika kuondoka bila masharti katika kila sehemu ya ardhi ya Lebanon, ikiwa “imeshindwa na kudhalilika.”
-
Wapiganaji wa Hizbullah wakabiliana na wanajeshi vamizi wa Israel kusini mwa Lebanon
Jun 16, 2026 11:07Wapiganaji wa Hizbullah wakabiliana na wanajeshi vamizi wa Israel kusini mwa Lebanon
-
Wanajeshi wa Israel wakiona cha mtemakuni Lebanon; ripoti ya Marekani: Hizbullah sasa ina uwezo zaidi kuliko awali
Jun 03, 2026 13:25Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema imetoa kipigo kikubwa kwa wanajeshi wa Israel katika mji wa al-Bayyada, kusini mwa Lebanon, huku jeshi la Israel likiendelea kushindwa na wanajeshi wake wakikabiliwa na mbinu za kisasa zaidi.
-
Hizbullah: Hakuna njia nyingine isipokuwa mapambano dhidi ya Israel
May 30, 2026 03:27Mbunge mwandamizi wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah itaendeleza operesheni zake za kijeshi dhidi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel.
-
Malaysia: Tutaipeleka Israel ICJ kwa kuteka nyara na kuwatesa wanaharakati wa Freedom Flotilla
May 25, 2026 12:21Serikali ya Malaysia iko tayari kuipeleka Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa kosa la kuteka nyara na kuwatesa wanaharakati wa msafara meli za misaada ya kibinadamu wa Global Sumud Flotilla, uliokuwa njiani kuelekea Ukanda wa Gaza huko Palestina.