-
Makombora ya Hizbullah ndio tishio kubwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni
May 31, 2017 03:21Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema makombora ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah ndio hatari kubwa zaidi inayoukabili utawala huo ghasibu.
-
Hizbullah: Iran ni nembo ya izza na uhuru
May 23, 2017 21:50Naibu Katibu Mkuu wa Hibzullah ya Lebanon amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nembo ya izza na ukombozi duniani.
-
Njama za Marekani dhidi ya Hizbullah kwa msaada wa Umoja wa Mataifa
May 17, 2017 01:49Ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa kuna njama za kila upande zinazopangwa dhidi ya muqawama wa Lebanon, ambapo hivi karibuni kikao cha siri cha upangaji njama hizo dhidi ya harakati ya Hizbullah kimefanyika mjini Washington, Marekani na kuhudhuriwa na nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Hizbullah yakosoa kimya cha nchi za Kiarabu juu ya Wafungwa wa Palestina
May 03, 2017 02:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya nchi za Kiarabu kufumbia macho masaibu yanayowakabili mamia ya wafungwa wa Palestina ambao kwa sasa wamesusia kula chakula katika jela za utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah yatoa radiamali na kukosoa Hati mpya ya Kisiasa ya Hamas
May 02, 2017 23:16Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa muqawama usiopigania kukomboa ardhi yote ya kihistoria ya Palestina hauwezi kuwa na tija wala faida yoyote.
-
Iran, Hizbullah zalaani hujuma ya kigaidi mjini Damascus
Mar 12, 2017 03:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana Jumamosi katika mji wa Damascus nchini Syria, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Rais Aoun: Hizbullah inailinda Lebanon
Feb 12, 2017 12:33Rais Michel Aaoun wa Lebanon amesisitiza kuwa silaha za Hizbullah hazina mgongano na uhalali wa serikali bali silaha hizo ni sehemu kuu na ya msingi ya ulinzi wa nchi hiyo.
-
Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 09, 2017 00:36Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.
-
Utawala haramu wa Israel wakiri juu ya uwezo mkubwa wa Hizbullah ya Lebanon
Feb 06, 2017 11:29Kituo cha Utafiti cha utawala haramu wa Israel kimekiri juu ya uwezo wa kijeshi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon na kueleza kuwa, uwezo wa Hizbullah uko katika kiwango cha majeshi bora ya Mashariki ya Kati.
-
Sheikh Naim Qassim: Hizbullah itaendelea kubakia Syria kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo
Jan 20, 2017 12:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo itaendelea kubakia nchini Syria na kupambana na magaidi wa kitakfiri kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo.