-
Kiongozi mkubwa wa genge la Daesh (SISI) atiwa mbaroni kusini mwa Lebanon
Sep 22, 2016 10:07Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (SIS) ametiwa mbaroni katika kambi ya wakimbizi ya Ain al-Hilweh, kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah: Utawala wa Saudia uache kiburi na utazame upya siasa zake
Sep 09, 2016 10:20Mrengo wa Harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unapaswa kutazama upya siasa zake.
-
Hizbullah ya Lebanon: Hali ilivyo ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa Syria
Sep 04, 2016 23:53Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema hali ilivyo hivi sasa nchini Syria ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa nchi hiyo.
-
Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama
Aug 21, 2016 10:48Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kuja kuchukua nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kukabiliana na muqawama na mapambano ya wananchi.
-
Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Aug 19, 2016 03:34Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetoa taarifa ya kulaani uchokozi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya kujitawala ya Lebanon katika mashamba ya Shab'a.
-
Sheikh Nabil Qaouk: Saudi Arabia haina ubavu wa kukabiliana na Hizbullah
Aug 08, 2016 23:58Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena amekosoa vikali siasa za kuharibu mambo za utawala wa Saudi Arabia katika Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah: Saudia inarejesha uhusiano na Israel bila gharama
Jul 30, 2016 01:38Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana na kusisitiza kuwa Riyadh inahuisha uhusiano wake na Tel Aviv pasina na kuzingatia maslahi ya Wapalestina.
-
Uingereza yakiri, Hizbullah ina nafasi chanya nchini Lebanon
Jul 25, 2016 00:22Balozi wa Uingereza mjini Bairut amesema kuwa, ni jambo lisilofaa kuilaumu harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa kushiriki katika vita dhidi ya wapiganaji wa kundi la Daesh nchini Syria.
-
Hizbullah yalaani kuchinjwa mtoto Abdullah wa Kipalestina na magaidi wa Syria + Video
Jul 21, 2016 03:50Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali jinai ya kutisha iliyofanywa na kundi la kigaidi la Harakati ya Nureddin al-Zenki ya kumchinja mtoto wa Kipalestina.
-
Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon
Jun 28, 2016 03:07Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kukwamisha mikakati ya kisiasa sambamba na kuzuia juhudi za kufanyika uchaguzi wa rais nchini Lebanon.