-
Rambirambi katika kumbukumbu ya kuaga dunia Imam Khomeini (MA) Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 04, 2021 02:55Leo Ijumaa tarehe 14 Khordad mwaka 1400 Hijria Shamsiya sawa na 23 Shawwal 1442 Hijria Qamariya sawa Juni 4 2021 inasadifiana na mwaka wa 32 tokea alipoaga dunia Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu-Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Wananchi wa Iran leo wanasimama kwa heshima licha ya vizingiti vingi
Jun 03, 2021 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lichqa ya kuwepo aina mbalimbali za njama za madola makubwa ya kibeberu, wananchi wa Iran hii leo wanasimama kidete na kwa heshima.
-
Alkhamisi tarehe 3 Juni 2021
Jun 03, 2021 02:32Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Shawwal 1442 Hijria sawa na Juni 3 mwaka 2021.
-
Ijumaa tarehe 19 Februari 2021
Feb 19, 2021 02:24Leo ni Ijumaa tarehe 7 Rajab 1442 Hijria sawa na Februari 19 mwaka 2021.
-
Jumatano, 3 Februari, 2021
Feb 03, 2021 02:30Leo ni Jumatano tarehe 20 Mfunguo Tisa Jamadithani mwaka 1442 Hijria sawa na tarehe Tatu Februari 2021 Miladia.
-
Jumatano, Januari 27, 2021
Jan 27, 2021 02:41Leo ni Jumatano tarehe 13 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 27 Januari 2021 Miladia.
-
Ijumaa tarehe Pili Oktoba mwaka 2020
Oct 02, 2020 00:37Leo ni Ijumaa tarehe 14 Safar 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba mwaka 2020.
-
Jumatano tarehe 29 Julai mwaka 2020
Jul 29, 2020 02:30Leo ni Jumatano tarehe 8 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Julai 29 mwaka 2020.
-
Jumapili, 26 Julai, 2020
Jul 26, 2020 02:39Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Tatu Dhul-Hija mwaka 1441 Hijria sawa na tarehe 26 Julai 2020 Miladia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:54Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.