Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Wakati Waislamu Kashmir wanakandamizwa, UAE yamtunukia Waziri Mkuu wa India nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima

    Wakati Waislamu Kashmir wanakandamizwa, UAE yamtunukia Waziri Mkuu wa India nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima

    Aug 25, 2019 07:59

    Hatua ya serikali ya Imarati (UAE) ya kumtunukia Waziri Mkuu wa India Narendra Modi nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima imeamsha moto mkubwa wa malalamiko na ukosoaji wa wanaharakati wa kutetea haki kutokana na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na serikali yake dhidi ya Waislamu wa eneo la Kashmir.

  • Wayemeni watolewa mwito wa kuendelea kukabiliana na

    Wayemeni watolewa mwito wa kuendelea kukabiliana na "Ukoloni wa Saudia na Imarati"

    Aug 25, 2019 07:57

    Kiongozi wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen Abdulaziz bin Habtoor ametoa mwito wa kukabiliana na kile alichokiita Ukoloni wa Saudi Arabia na Imarati.

  • Los Angeles Time: Saudia haina uwezo wa kushinda vita nchini Yemen

    Los Angeles Time: Saudia haina uwezo wa kushinda vita nchini Yemen

    Aug 12, 2019 22:03

    Gazeti la Los Angeles Time limekosoa uvamizi wa kijeshi uliofanywa na Saudi Arabia nchini Yemen na kueleza kwamba haitawezekana kwa utawala wa Aal Saud kushinda vita hivyo.

  • Vibaraka wa Imarati na Saudia waendelea kutwangana risasi katika mji wa Aden, Yemen

    Vibaraka wa Imarati na Saudia waendelea kutwangana risasi katika mji wa Aden, Yemen

    Aug 09, 2019 20:48

    Mapigano yamezuka tena katika mji wa Aden kati ya vikosi vya baraza la mpito la kusini lenye mfungamano na Imarati na vile vilivyo tiifu kwa Abdrabbuh Mansur Hadi, rais wa Yemen aliyejiuzulu, ambavyo vinaungwa mkono na Saudi Arabia.

  • Ripoti: Imarati imeondoa askari wake Yemen kwa sababu Saudia haitashinda vita

    Ripoti: Imarati imeondoa askari wake Yemen kwa sababu Saudia haitashinda vita

    Aug 03, 2019 22:35

    Ripoti iliyofichuliwa hivi karibuni imebaini kuwa Imarati ambayo ni mshirika muhimu katika muungano wa vita vya Saudi Arabia nchini Yemen imeamua kuondoa majeshi yake nchini humo kwa sababu ni muhali kuweza kushinda vita hivyo.

  • Iran na Imarati zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Iran na Imarati zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Jul 30, 2019 20:46

    Kamanda wa kikosi cha walinzi wa mpakani cha jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kamanda wa gadi ya pwani ya Imarati wamesisitizia kuimarishwa uhusiano wa kidiplomasia wa nchi mbili na kudhaminiwa usalama wa Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.

  • Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati

    Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati

    Jul 25, 2019 21:06

    Katika juhudi za kuzifanya siasa zake za nje kuwa za kibiashara zaidi, Rais Donald Trump wa Marekani amelipa kipaumbele suala la mauzo ya silaha za nchi hiyo.

  • Congress  ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.

    Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.

    Jul 19, 2019 21:56

    Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.

  • Njama za Imarati na Marekani za kuibambikizia kesi Ikhwanul Muslimin zafichuliwa

    Njama za Imarati na Marekani za kuibambikizia kesi Ikhwanul Muslimin zafichuliwa

    Jul 17, 2019 08:27

    Naibu Mkuu wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amefichua kile kilichojadiliwa katika mazungumzo yake na maafisa kadhaa wa nchi za nje katika jela muda mfupi baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Julai 2013 nchini Misri.

  • Saudia yakasirishwa na Imarati kupunguza askari wake Yemen

    Saudia yakasirishwa na Imarati kupunguza askari wake Yemen

    Jul 12, 2019 10:44

    Watawala wa Saudi Arabia wameghadhabishwa mno na kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu cha kuwaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS