Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Licha ya India kukanusha, OIC: Waislamu walilengwa kichuki katika tamasha la Wahindu

    Licha ya India kukanusha, OIC: Waislamu walilengwa kichuki katika tamasha la Wahindu

    Apr 05, 2023 11:41

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema, kushambuliwa Waislamu wakati wa tamasha la Wahindu la Ram Navami ni 'dhihirisho la wazi la kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu' nchini India.

  • Wahindu wenye msimamo mkali washambulia shule ya Kiislamu na kuchoma nakala za Qur'ani na maelfu ya vitabu

    Wahindu wenye msimamo mkali washambulia shule ya Kiislamu na kuchoma nakala za Qur'ani na maelfu ya vitabu

    Apr 04, 2023 13:30

    Wanaharakati kwenye majukwaa ya mawasiliano ya kijamiii ya India wamechapisha picha zinazoonyesha shule ya Kiislamu ikiteketea kwa moto katika jimbo la Bihar, baada ya kushambuliwa na Wahindu wenye msimamo mkali siku ya Ijumaa, na kusababisha uharibifu mkubwa.

  • Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

    Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

    Jan 17, 2023 07:28

    Serikali ya India imebomoa msikiti mwingine katika jimbo la Uttar Pradesh kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara.

  • Wataalamu: Ukoloni wa Uingereza ulisababisha vifo vya mamilioni ya watu nchini India

    Wataalamu: Ukoloni wa Uingereza ulisababisha vifo vya mamilioni ya watu nchini India

    Dec 28, 2022 04:21

    Ukoloni wa Uingereza ulikuwa sababu ya vifo vya zaidi ya watu milioni mia moja nchini India.

  • Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'

    Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'

    Dec 16, 2022 11:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India

    Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India

    Nov 19, 2022 02:30

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.

  • Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

    Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

    Nov 16, 2022 12:33

    Rais Xi Jinping wa China amesema Taiwan kuwa nchi huru na kupatikana amani katika Mlango-Bahari wa kisiwa hicho havitangamani kama yalivyo maji na moto.

  • Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India

    Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India

    Nov 11, 2022 03:09

    Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Watu 141 wameaga dunia hadi sasa baada ya daraja kuporomoka huko India

    Watu 141 wameaga dunia hadi sasa baada ya daraja kuporomoka huko India

    Oct 31, 2022 12:02

    Shughuli za uokoaji zinaendelea katika mji wa Morbi katika jimbo la Gujarat nchini India ambako watu wasiopungua 141 wameaga dunia hadi sasa baada ya daraja la enzi za ukoloni kuporomoka jana jioni.

  • Wahindi wamwomba Sunak airejeshe India almasi ya Koh-i-Nur iliyoko kwenye taji la malkia wa Uingereza

    Wahindi wamwomba Sunak airejeshe India almasi ya Koh-i-Nur iliyoko kwenye taji la malkia wa Uingereza

    Oct 26, 2022 12:43

    Maoni ya kwanza kutolewa na Wahindi watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa kuchaguliwa Rishi Sunak kuwa waziri mkuu wa Uingereza ni kumwomba kiongozi huyo mwenye asili ya India airejeshe nchini humo almasi ya Koh-i-Nur iliyoko kwenye taji la malkia wa Uingereza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS