-
Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili
Sep 29, 2020 13:13Jumatatu ya jana tarehe 28 Septemba, ilisafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.
-
Jumatatu tarehe 28 Septemba 2020
Sep 28, 2020 03:02Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Tano Safar 1442 Hijria sawa na 28 Septemba 2020.
-
Mshauri wa Abbas: Chokochoko mpya za Israel zitaibua Intifadha ya 3 ya Palestina
Jul 06, 2020 03:26Mshauri wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameonya kuwa, Intifadha ya Tatu ya wananchi wa Palestina inanukia na bila shaka itaibuka mara moja iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza mpango wake wa kulipora na kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Intifadha, njia pekee ya kukabiliana na mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 29, 2020 03:55Mkuu wa Kamati ya Kuunga mkono Mapinduzi ya Wananchi wa Palestina amesema kuwa mapambano ya Intifadha ndio njia pekee ya kukabiliana na mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kutaka kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi.
-
Msemaji wa Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuikomboa Palestina
Dec 10, 2019 13:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mapambano ya pande zote na kwa kutumia mbinu na nyezo zote ndiyo chaguo la taifa la Palestina kwa ajili ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Israel.
-
Jumamosi, 28 Septemba, 2019
Sep 28, 2019 02:37Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2019 Miladia.
-
Jumapili, Disemba 9, 2018
Dec 09, 2018 02:48Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Saba Rabiuthani 1440 Hijria ambayo inalingana na tarehe 9 Disemba 2018 Miladia.
-
Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni
Nov 19, 2018 04:15Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu yuko katika ncha ya kuanguka, na kwamba muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni.
-
Ijumaa, Septemba 28, 2018
Sep 28, 2018 02:22Leo ni Ijumaa tarehe 18 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 28, 2018 Milaadia.
-
Jihadul Islami: Saudia na Imarati zinashirikiana na Marekani kuikandamiza Palestina
Aug 09, 2018 04:25Mwakilishi wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), zinashiriki waziwazi katika 'Mapatano ya Karne' ambayo yameandaliwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuliangamiza taifa la Palestina