Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia

    BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia

    Jul 13, 2024 23:26

    Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.

  • Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani

    Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani

    Jul 12, 2024 07:11

    Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.

  • Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo

    Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo

    Jul 11, 2024 23:34

    Mahakama moja nchini Iran imeiagiza Marekani kulipa takriban dola bilioni 7 kama fidia kwa waathiriwa wa ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB) nchini Iran.

  • Iran: Waliounga mkono mpango wa silaha za kemikali wa Saddam washtakiwe

    Iran: Waliounga mkono mpango wa silaha za kemikali wa Saddam washtakiwe

    Jul 11, 2024 09:52

    Balozi wa Iran nchini Uholanzi amesisitiza juu ya udharura wa kushtakiwa na kuadhibiwa waungaji mkono wa kigeni wa mpango wa silaha za kemikali wa utawala wa Baath wa Iraq uliokuuwa ukiongozwa na Saddam Hussein.

  • Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran

    Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran

    Jul 11, 2024 03:47

    Muhammad Shahbaz Sharf Waziri Mkuu wa Pakistan amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Masoud Pezeshkian Rais Mteule wa Iran kuwa Islamabad iko tayari kustawisha uhusiano na Tehran. Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa mapatano yaliyofikiwa na nchi mbili katika ziara ya mwezi Aprili ya Rais Shahidi Raisi wa Iran huko Pakistan ni nukta muhimu katika uhusiano wa pande mbili.

  • Rais mpya wa Iran kuapishwa Julai 30

    Rais mpya wa Iran kuapishwa Julai 30

    Jul 10, 2024 23:24

    Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kula kiapo cha kulitumikia taifa Julai 30 mwaka huu.

  • Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran

    Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran

    Jul 10, 2024 11:26

    Viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Rais wa Afrika Kusini wameendelea kumpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Umoja wa Ulaya uko tayari kuimarisha ushirikiano na Iran

    Umoja wa Ulaya uko tayari kuimarisha ushirikiano na Iran

    Jul 09, 2024 22:55

    Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema umoja huo uko tayari kwa ajili ya kupanua wigo wa ushirikiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • UN: Tuna hamu ya kushirikiana na Rais mpya wa Iran

    UN: Tuna hamu ya kushirikiana na Rais mpya wa Iran

    Jul 09, 2024 04:24

    Stephane Dujarric Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ina hamu ya kushirikiana na Rais mpya wa Iran, Masoud Pezeshkian.

  • Pezeshkian: Kuunga mkono muqawama ni katika sera kuu za Iran

    Pezeshkian: Kuunga mkono muqawama ni katika sera kuu za Iran

    Jul 08, 2024 23:38

    Rais mteule wa Iran amesema serikali yake ijayo itafanya kile iwezalo kuunga mkono vikosi vya muqawama katika eneo la Asia Magharibi, akisisitiza kuwa kuuunga mkono mrengo wa mapambano ni katika sera kuu za Jamhuri ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS