Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Balozi mdogo wa Pakistan Tehran aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran

    Balozi mdogo wa Pakistan Tehran aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran

    Jan 18, 2024 05:58

    Balozi mdogo wa Pakistan mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia mlipuko uliotokea leo asubuhi katika kijiji cha mpakani katika mkoa wa Sistan na Baluchistan hapa nchini.

  • Watu saba wasio raia wa Iran wauawa katika miripuko iliyotokea kusini mashariki mwa nchi

    Watu saba wasio raia wa Iran wauawa katika miripuko iliyotokea kusini mashariki mwa nchi

    Jan 18, 2024 03:41

    Watu saba wasio raia wa Iran wameuawa katika miripuko kadhaa iliyotokea katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.

  • Kundi la kigadi la Jaishu Dhulm lakiri kushambuliwa ngome zake Pakistan

    Kundi la kigadi la Jaishu Dhulm lakiri kushambuliwa ngome zake Pakistan

    Jan 17, 2024 04:35

    Kundi la kigaidi la Jaishu Dhulm limetangaza kuwa ngome zake zimelengwa na kushambuliwa kwa makombora usiku wa kuamkia leo katika mpaka wa Iran na Pakistan.

  • Raisi: Hujuma za Marekani dhidi ya Yemen zimefichua dhati yake ya shari

    Raisi: Hujuma za Marekani dhidi ya Yemen zimefichua dhati yake ya shari

    Jan 15, 2024 04:35

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Yemen na kusema kuwa, hujuma hizo zimefichua dhati ya Washington ya kupenda shari, chokochoko na kukanyaga haki za binadamu.

  • Hatua za undumakuwili za nchi za Ulaya kuhusu ugaidi

    Hatua za undumakuwili za nchi za Ulaya kuhusu ugaidi

    Jan 13, 2024 23:13

    Mahakama ya Rufaa ya Denmark inayojulikana kwa jina la "The Eastern High Court" Ijumaa tarehe 12 Januari ilipasisha hukumu ya kifungo jela kwa watu watatu ambao ni wanachama wa kundi linalotaka kujitenga la "Al Ahwaziya" ambao walituhumiwa kueneza ugaidi nchini na kukusanya taarifa za kijasusi kwa ajii ya Shirika la ujasusi la Saudi Arabia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na mawaziri wenzake wa Saudia na Norway kuhusu Gaza

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na mawaziri wenzake wa Saudia na Norway kuhusu Gaza

    Jan 12, 2024 04:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia na Norway kuhusiana na kupanua uhusiano wa pande mbili na matukio yanayojiri katika Ukanda wa Gaza.

  • Jeshi la Wanamaji la Iran lakamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama

    Jeshi la Wanamaji la Iran lakamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama

    Jan 11, 2024 12:06

    Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuikamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama katika Bahari ya Oman.

  • Kufichuliwa nafasi ya jasusi wa Uholanzi katika hujumu dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran

    Kufichuliwa nafasi ya jasusi wa Uholanzi katika hujumu dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran

    Jan 10, 2024 02:34

    Gazeti la Volkskrant la Uholanzi limefichua kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alikuwa na mchango mkubwa katika operesheni ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuhujumu kituo cha kurutubisha uranium cha Natanz nchini Iran.

  • Kupanuka kundi la BRICS na kudhoofika wenzo wa mashinikizo wa Magharibi dhidi ya Iran na Russia

    Kupanuka kundi la BRICS na kudhoofika wenzo wa mashinikizo wa Magharibi dhidi ya Iran na Russia

    Jan 08, 2024 23:31

    Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani ya Bloomberg imeripoti kuwa, kuongezeka maradufu idadi ya wanachama wa kundi la BRICS kunadhoofisha nguvu ya nchi za Magharibi dhidi ya nchi kama Russia na Iran.

  • Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani + Video na Picha

    Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani + Video na Picha

    Jan 08, 2024 00:18

    Kumbukumbu za kutimia mwaka wa nne tangu kuuliwa shahidi Luteni jenerali Shahidi Qassim Suleiman zimefanyika katika miji mikuu ya Nigeria na Ghana yaani huko Abuja na Accra kwa kuhudhuriwa na Waislamau wa matabaka mbalimbali na wafuasi wa kamanda huyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS