-
Raisi: Maadui wameshindwa kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Aug 29, 2023 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema adui amefeli katika njama zake za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu na dunia, na pia kuwakatisha tamaa wananchi wa nchi hii.
-
Uanachama rasmi wa Iran katika kundi la BRICS; risala na matokeo
Aug 26, 2023 10:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa rasmi na kuwa mwanachama wa BRICS miezi kadhaa tu baada ya kukubaliwa uanachama pia katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS
Aug 24, 2023 04:23Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.
-
Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Aug 23, 2023 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.
-
Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24
Aug 22, 2023 23:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua ndege isiyo na rubani yenye uwezo wa kuruka kwa saa 24 mfululizo bila kusimama.
-
Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia
Aug 22, 2023 22:54Maji mazito ni bidhaa ya pili ya kimkakati ya sekta ya nishati ya nyuklia baada ya uranium duniani na Iran ni moja kati ya nchi tano zinazozalisha bidhaa hii kwa usafi wa hali ya juu kiasi kwamba, nchi nyingi zinatazamia kununua maji mazito ya Iran licha ya vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Aug 21, 2023 07:39Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.
-
Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara
Aug 21, 2023 01:20Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye karibuni ametembelea Saudi Arabia kwa mwaliko rasmi wa Faisal bin Farhan, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, siku ya Ijumaa alikutana na kuzungumza na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mjini Jeddah.
-
Iran: Mapinduzi, vikwazo ni vyombo vya mabeberu vya kuyakandamizi mataifa huru
Aug 19, 2023 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu na ya kiistikbari yanatumia kila njia kuyakandamiza mataifa huru duniani.
-
"Kupanga mapinduzi, kuwaunga mkono madikteta ni katika sera za UK, US"
Aug 19, 2023 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kupanga na kufadhili mapinduzi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuwaunga mkono madikteta ni katika sera kuu za Marekani na Uingereza katika kipindi chote cha historia.