Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran

    Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran

    Jan 15, 2023 08:13

    Kunyongwa Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6 kumekabiliwa na matamshi ya pupa na radiamali tofauti na hasi za madola ya Magharibi. Radiamali hizo zinaonyesha kupata pigo kubwa mipango ya kijasusi ya Magharibi dhidi ya Iran.

  • UK yamuita nyumbani balozi wake baada ya Iran kumnyonga jasusi wa MI6

    UK yamuita nyumbani balozi wake baada ya Iran kumnyonga jasusi wa MI6

    Jan 15, 2023 03:39

    Katika hatua nyingine ya uingiliaji kati wa mambo, London imemuita nyumbani balozi wa Uingereza mjini Tehran eti kwa ajili ya mashauriano, kufuatia hatua ya Idara ya Mahakama ya Iran kumnyonga Ali Reza Akbari, aliyekuwa jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6.

  • Uingereza yahamakishwa na kunyongwa jasusi wake nchini Iran

    Uingereza yahamakishwa na kunyongwa jasusi wake nchini Iran

    Jan 14, 2023 22:54

    Waziri Mkuu wa Uingereza ameshindwa kuzuia na kuficha hamaki zake baada ya jasusi wa nchi hiyo kutiwa mbaroni na kunyongwa nchini Iran na amedai kuwa kunyongwa jasusi huyo ni kitendo cha kikatili na cha woga.

  • Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Jan 14, 2023 22:52

    Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Abdallah Bou Habib, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika safari yake mjini Beirut na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kuwa rafiki mwaminifu na wa kutegemewa wa Lebanon.

  • Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Jan 14, 2023 00:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu.

  • Alkhamisi tarehe 12 Januari 2023

    Alkhamisi tarehe 12 Januari 2023

    Jan 12, 2023 23:05

    Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jumadithani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Januari 2023.

  • Jumatano tarehe 11 Januari 2023

    Jumatano tarehe 11 Januari 2023

    Jan 12, 2023 23:02

    Leo ni Jumatano tarehe 18 Jumadithani 1444 Hijria sawa na Januari 11 mwaka 2023.

  • Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Jan 11, 2023 08:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Iraq mjini Tehran, kulalamikia kitendo cha mamlaka za Baghdad kutumia neno bandia la 'Ghuba ya Kiarabu' badala ya 'Ghuba ya Uajemi' katika mashindano ya kandanda ya nchi za Kiarabu, yanayoendelea katika mji bandari wa Basra, kusini mwa Iraq.

  • Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Jan 11, 2023 05:48

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington.

  • Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Jan 09, 2023 07:20

    Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS