-
Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran
Oct 06, 2022 05:47Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022, alijitokeza hadharani bila ya haya na kuunga mkono machafuko na kuuliwa maafisa usalama na wananchi wa Iran katika vurugu za hivi karibuni.
-
Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria
Oct 06, 2022 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya Umoja wa Ulaya dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, serikali ya Tehran itakabiliana na wafanya fujo na magaidi kwa kuzingatia misingi ya sheria za nchi hii.
-
Iran: Tutatoa jibu iwapo EU itaendelea na tabia yake ya uingiliajii
Oct 06, 2022 00:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametahadharisha kuwa, Tehran itatoa jibu mwafaka iwapo Umoja wa Ulaya utaendelea na tabia yake ya kungilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran
Oct 04, 2022 04:33Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.
-
Biashara kati ya Iran na Afrika Mashariki imeongezeka kwa 100%
Oct 04, 2022 04:31Naibu Mkuu wa Shirika la Kustawisha Biashara la Iran amesema miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika Mashariki imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Nasrullah: Iran ni thabiti, haitatikiswa na matukio ya sasa
Oct 01, 2022 23:40Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina nguvu na uthabiti kuliko wakati wowote ule, na kwamba taifa hili litavuka salama mtihani wa sasa kutokana na hekima ya viongozi wake.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga
Oct 01, 2022 08:35Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.
-
"Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"
Sep 28, 2022 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.
-
"Magharibi inafanya njama za kufuta matukufu ya Kiislamu na kupandikiza upotofu wake"
Sep 27, 2022 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amendelea na harakati zake za kidiplomasia pembeni mwa kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kuonana na kufanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje kuanzia wa mashariki hadi magharibi mwa Asia na kutoka Amerika ya Latini hadi Ulaya na Afrika.
-
Iran ya Kiislamu imo kwenye maombolezo ya kufariki dunia Mtume Muhammad SAW
Sep 25, 2022 03:38Iran ya Kiislamu hivi sasa imo kwenye maombolezo makubwa ya kukumbuka kufariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na kuuawa shahidi mjukuu wake, Imam Hassan al Mujtaba AS ambaye ni Imam wa Pili wa Waislamu wa madhehebu ya Kishia.