-
Kan’ani Chafi: Hadaa ni sifa iliyoshamiri ya wanasiasa wa Marekani
Jul 14, 2022 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hadaa na kusema uongo ni sifa ya kawaida katika kauli za wanasiasa wa Marekani.
-
Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi
Jul 12, 2022 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chimbuko la vitendo vya kigaidi na ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Iran yapinga mpango wa US kuunda mfumo wa ulinzi katika eneo
Jul 11, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaja mpango wa Marekani wa kutaka kuunda eti mfumo wa pamoja wa ngao ya makombora katika eneo hili kuwa ni wa kichochezi na kichokozi.
-
Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni
Jul 11, 2022 06:31Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.
-
Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India
Jul 10, 2022 22:06Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.
-
Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria
Jul 10, 2022 04:39Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono amani na uthabiti na inapinga uingiliaji wowote wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya Syria.
-
Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu
Jul 09, 2022 03:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwenendo wa magenge ya kigaidi na kitakfiri wa kupanda mbegu za chuki na mifarakano ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na maadui kuibua migawanyiko katika umma wa Kiislamu.
-
Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Jul 07, 2022 03:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili.
-
Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran
Jul 06, 2022 23:03Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kutangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta na petrokemikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran iko tayari kuipa Mali uzoefu katika sayansi, teknolojia na utafiti
Jul 06, 2022 01:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuipa Mali tajriba na uzoefu wake katika nyuga za sayansi, teknolojia na utafiti.