-
Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia nyendo zote za maadui mipakani
Jul 03, 2022 03:29Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza usalama imara na thabiti katika mipaka ya magharibi ya nchi hii na kusisitiza kuwa, Iran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za maadui muda wote.
-
Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu
Jul 03, 2022 00:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ukombozi wa taifa la Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
-
Iran: Tunapinga hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile
Jul 02, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "sisi tunauelewa wasiwasi ilionao nchi jirani yetu Uturuki na tunapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile".
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani
Jul 01, 2022 08:48Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu.
-
China yaitaka Marekani kurekebisha makosa yake mkabala wa Iran
Jun 30, 2022 09:05China imeitaka Marekani irekebishe makosa yake katika mienendo yake dhidi ya Iran.
-
Raisi: Uwepo wa utawala wa Kizayuni unadhoofisha usalama wa eneo
Jun 29, 2022 22:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaibua taharuki na kudhoofisha usalama wa eneo hili la Asia Magharibi.
-
Russia: Iran na Argentina zameomba rasmi uwanachama katika BRICS
Jun 28, 2022 06:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amethibitisha kuwa Iran na Argentina zimetuma maombi ya kuwa wanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu
Jun 27, 2022 22:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndio adui nambari moja wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 27, 2022 22:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Jun 27, 2022 06:59Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.