-
Iran kuanza kuzalisha chanjo ya Russia ya Sputnik V
Mar 27, 2021 02:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuanza kuzalisha chanjo ya COVID-19 ya Sputnik V ya Russia ambayo sasa inataumika katika nchi nyingi duniani.
-
Jumamosi, 27 Machi, 2021
Mar 26, 2021 22:00Leo ni Jumamosi tarehe 13 Shaaban 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Machi 2021 Miladia.
-
Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha nchi za Magharibi katika kukabiliana na Iran
Mar 25, 2021 04:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lililopitishwa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao cha 46 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, halina itibari yoyote ya kisheria na wala halikubaliki kimataifa.
-
Moscow: Iran ina nafasi muhimu katika kutatua masuala ya Afghanistan
Mar 24, 2021 22:06Mjumbe Maalumu wa Russia katika Masuala ya Afghanistan amesisitiza umuhimu wa nafasi chanya ya Iran katika kuyapatia ufumbuzi masuala mbalimbali ya Afghanistan.
-
Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA
Mar 24, 2021 07:51Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.
-
Bri. Jen. Hatami: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kulipa deni la Iran
Mar 23, 2021 22:39Waziri wa Ulinzi wa Iran ameashiria jinsi Uingereza ilivyokiri kuwa ina deni la miaka 42 la Iran na kuitaka London ichukue hatua za kivitendo za kuilipa Tehran fedha zake hizo ambazo ni mamia ya mamilioni ya dola.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu JCPOA; Iran haina haraka
Mar 23, 2021 05:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Marekani inapaswa kufuta vikwazo vyote, kisha Iran ichunguze na kutathmini ukweli wa hatua hiyo, na endapo itathibiti kweli kwamba, vikwazo hivyo vimeondolewa, basi taifa hili litarejea bila tatizo lolote katika utekelezaji wa ahadi zake kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Iran yalaani mashambulio ya silaha nchini Niger
Mar 20, 2021 04:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio yaliyofanywa hivi karibuni na wabeba silaha nchini Niger, ambayo yamepelekea makumi ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Iran: Hatujapokea ujumbe wowote kutoka Marekani
Mar 20, 2021 04:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka kwa Marekani wala haina azma yoyote ya kuitumia Washington ujumbe.
-
Guterres alaani chuki dhidi ya Waislamu, anukulu aya ya Qur’ani
Mar 20, 2021 04:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu (Islamophobia) na kusema ubaguzi wa rangi kwa bahati mbaya sana upo na unaendelea katika nchi zote na katika jamii zote duniani na mizizi yake imekita kutokana na karne na karne za ukoloni na utumwa.