Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Viongozi wa Marekani waendeleza misimamo yao ya kiuadui dhidi ya Iran

    Viongozi wa Marekani waendeleza misimamo yao ya kiuadui dhidi ya Iran

    Dec 15, 2020 04:38

    Ikiwa ni katika kudumisha misimamo ya uhasama ya viongozi wa White House dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani anayeshughulikia masuala ya Iran ameunga mkono vikwazo vya Washington dhidi ya Tehran.

  • Zanganeh: Iran haihitaji idhini ya kurejea katika soko la mafuta

    Zanganeh: Iran haihitaji idhini ya kurejea katika soko la mafuta

    Dec 14, 2020 08:57

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema taifa hili halihitaji idhini yoyote kurejea katika soko la mafuta na kwamba lina uwezo wa kuuza mapipa milioni 2.3 ya mafuta kila siku.

  • Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa

    Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa

    Dec 14, 2020 01:20

    Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Jumapili, 13 Disemba, 2020

    Jumapili, 13 Disemba, 2020

    Dec 12, 2020 22:19

    Leo ni Jumapili tarehe 27 Mfunguo Saba Rabiu Thani mwaka 1442 Hijria sawa na tarehe 13 Disemba 2020 Miladia.

  • Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina

    Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina

    Dec 12, 2020 03:51

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.

  • Kinara wa propaganda za ghasia anyongwa Iran

    Kinara wa propaganda za ghasia anyongwa Iran

    Dec 12, 2020 03:37

    Ruhullah Zam, kinara wa mtandao wa habari wa Amad News ambao ulikuwa unaeneza propagadna dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu amenyongwa kufuatia hukumu iliyotoelwa na mahakama.

  • Watu 232 wengine wafariki dunia kwa corona nchini Iran

    Watu 232 wengine wafariki dunia kwa corona nchini Iran

    Dec 11, 2020 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 9 wameambukizwa kirusi cha corona na wengine 232 wamefariki dunia katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.

  • Madai ya uongo ya Marekani kuhusu kuondolewa dawa na vifaa vya matibabu katika vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Madai ya uongo ya Marekani kuhusu kuondolewa dawa na vifaa vya matibabu katika vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Dec 10, 2020 13:00

    Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mwano Mei 2018, nchi hiyo imeiwekea Iran vikwazo vikali zaidi chini ya siasa za 'mashinikizo ya juu kabisa', na tokea wakati huo imekuwa ikiongeza vikwazo hivyo visivyo vya kibinadamu bila kujali kuenea nchini na duniani virusi vya maradhi hatari ya corona.

  • Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Dec 09, 2020 03:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Damascus ni mkubwa na wa kistratejia na kueleza kuwa: Syria ina uhusiano mkubwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.

  • Katibu Mkuu wa Arab League atoa bwabwaja nyingine dhidi ya Iran na Uturuki

    Katibu Mkuu wa Arab League atoa bwabwaja nyingine dhidi ya Iran na Uturuki

    Dec 08, 2020 03:52

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amepayuka tena dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, katika hotuba yake mbele ya wanachuo mjini Cairo Misri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS