-
Iran na Umoja wa Mataifa zajadili mgogoro wa Yemen mjini Tehran
Feb 08, 2021 08:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono kikamilifu jitihada za Umoja wa Mataifa za kujaribu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Yemen.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 8
Feb 08, 2021 05:45Ahlan wasahlan wamarhaba ashiki na mfuatiliaji wa matukio ya spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Mjumbe Maalumu wa UN nchini Yemen afanya mazungumzo na mshauri wa Zarif
Feb 08, 2021 04:33Mjumbe Malumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen amefanya mazungumzo na mshauri maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambapo wamejadili matukio ya hivi karibuni ya Yemen.
-
Afrika Kusini yapiga marufuku chanjo ya corona kutoka Uingereza
Feb 08, 2021 04:21Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kusitisha mipango ya kuanza utoaji chanjo ya corona au COVID-19 kutoka Uingereza ya AstraZeneca na Oxford baada ya utafiti kubaini kuwa chanjo hiyo haiwezi kukabiliana na aina mpya ya corona iliyopatikana nchini humo.
-
Iran yasafirisha kwa wingi matrekta katika nchi za Afrika, Asia
Feb 07, 2021 04:10Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Kuzalisha Matrekta la Iran amesema nchi hii imeanza kuuza kwa wingi tingatinga katika nchi za Afrika, Asia na Amerika ya Latini.
-
Iran itatoa jibu kali kwa tishio na uchokozi wowote wa Israel
Feb 07, 2021 03:55Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya matamshi ya kichokozi na ya kupiga ngoma ya vita ya maafisa wa utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa tishio lolote la Wazayuni dhidi yake.
-
Iran: Marekani ingali inakiuka azimio 2231 kwa vikwazo haramu
Feb 05, 2021 09:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani inaendelea kukanyaga azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwa kuliwekea taifa hili vikwazo kinyume cha sheria.
-
Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi
Feb 04, 2021 23:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanahamaki na kushindwa kuvumilia hatua za maendeleo na ustawi zinazopigwa na taifa hili.
-
Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran
Feb 04, 2021 10:45Shehena ya kwanza ya chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona ya Sputnik V ya Russia imewasili hapa nchini Iran leo Alkhamisi.
-
Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani
Feb 04, 2021 09:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kukataa pingamizi la Marekani kuhusu mashataka ya Tehran dhidi yake, ni ushindi mwingine kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.