-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Cuba wakutana Havana
Nov 07, 2020 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye yuko nchini Cuba kwa ziara rasmi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Cuba Bruno Rodriguez.
-
Iran yatuma zana za kivita katika mpaka wa magharibi mwa nchi
Nov 06, 2020 07:09Jeshi la nchi kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetuma zana za kivita na wanajeshi katika ukanda wa mpaka wa Iran na Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan.
-
Meja Jenerali Salami: Tutatoa majibu makali kwa vitisho vyovyote katika mipaka ya Iran
Nov 05, 2020 23:19Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Iran iko imara kukabiliana vilivyo na vitisho vyovyote katika mipaka yake.
-
"Serikali ijayo ya Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya Iran"
Nov 05, 2020 08:53Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ijayo ya Marekani haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kusalimu amri mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 00:28Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Iran yazindua mfumo mpya wa kuvurumisha makombora ya balestiki
Nov 04, 2020 08:39Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limezindua mfumo erevu na wa kiotomatiki wa kuvurumisha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa marefu kwa wakati mmoja.
-
Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani
Nov 04, 2020 08:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halijalishwi wala kushughulishwa na ni nani atakayeibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika jana Jumanne.
-
Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)
Nov 04, 2020 03:35Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wametoa taarifa wakilaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvujia heshima Mtume Muhammad (saw).
-
Jeshi la Iran lasema halitaruhusu adui atekeleze hujuma
Nov 03, 2020 20:47Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema liko tayari kukabiliana na tishio lolote lile dhidi ya taifa la Iran na mfumo wa Kiislamu.
-
Jahangiri: Kipaumbele cha nchi za Kiislamu ni kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW
Nov 03, 2020 04:24Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW kunapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza katika nchi za Kiislamu duniani.