Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • 'Hakuna Mmarekani atakayesalimika’: Mkuu wa Majeshi ya Iran asema vikosi vya jeshi viko tayari kulipiza kisasi

    'Hakuna Mmarekani atakayesalimika’: Mkuu wa Majeshi ya Iran asema vikosi vya jeshi viko tayari kulipiza kisasi

    Feb 03, 2026 00:20

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa mahesabu yoyote ghalati ya maadui wa Jamhuri ya Kiislamu yatakabiliwa na jibu kali. Amesema kuwa Iran imejiandaa kikamilifu kwa makabiliano na kulipiza kisasi.

  • Pompeo aanika nafasi ya US katika ghasia za karibuni nchini Iran

    Pompeo aanika nafasi ya US katika ghasia za karibuni nchini Iran

    Feb 02, 2026 23:41

    Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Mike Pompeo, amekiri kwamba, Washington ilikuwa na mchango wa moja kwa moja katika ghasia za hivi karibuni nchini Iran, akisema Marekani "iliwasaidia moja kwa moja" wafanya fujo.

  • Iran yatahadharisha: Uvamizi wowote utakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Asia Magharibi

    Iran yatahadharisha: Uvamizi wowote utakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Asia Magharibi

    Feb 02, 2026 10:35

    Iran imesema kuwa nchi za kikanda zinafanya juhudi za pamoja ili kuzuia vita kwa vile zinaelewa vyema kwamba hatua yoyote ya kijuba dhidi ya Tehran itakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima.

  • Iran yatambua majeshi ya Ulaya kama mashirika ya kigaidi

    Iran yatambua majeshi ya Ulaya kama mashirika ya kigaidi

    Feb 01, 2026 06:51

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohamad Bagher Ghalibaf amelitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kama taasisi ya kipekee zaidi ya kupambana na ugaidi duniani, akibainisha kuwa Ulaya 'imejipiga risasi mguuni' kwa kuiweka IRGC kwenye orodha yake nyeusi.

  • Majasusi wa Magharibi: Iran haiundi silaha za nyuklia

    Majasusi wa Magharibi: Iran haiundi silaha za nyuklia

    Feb 01, 2026 06:11

    Mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi yamesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kwamba Iran inarutubisha urani kwa ajili ya "kufikia kiwango cha mabomu," gazeti la New York Times limeripoti, likinukuu vyanzo mbali mbali.

  • Iran: IRGC inadumisha amani, utulivu; uingiliaji unachochea taharuki

    Iran: IRGC inadumisha amani, utulivu; uingiliaji unachochea taharuki

    Feb 01, 2026 03:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lina jukumu muhimu katika kudumisha amani na utulivu katika eneo la Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz, huku akionya kwamba uwepo na vikosi vya kigeni katika eneo la Asia Magharibi umepelekea kuongezeka taharuki badala ya kupunguza mvutano.

  • Sera za uadui za Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; Brussels inataka nini?

    Sera za uadui za Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; Brussels inataka nini?

    Jan 31, 2026 05:27

    Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.

  • Ushirikiano wa Starmer na Trump; madai mapya dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran

    Ushirikiano wa Starmer na Trump; madai mapya dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran

    Jan 31, 2026 00:04

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.

  • Pezeshkian amweleza Erdogan: Iran inapinga vitisho, inaunga mkono mazungumzo na diplomasia

    Pezeshkian amweleza Erdogan: Iran inapinga vitisho, inaunga mkono mazungumzo na diplomasia

    Jan 30, 2026 23:27

    Iran inapinga vitisho na kushurutishwa na ina azma thabiti ya kufanya mazungumzo, kuheshimiana pande mbili na kutekelezwa diplomasia kwa manufaa ya pande zote. Haya yameelezwa na Rais Masoud Pezeshkian huku Washington ikiendelea kutoa vitisho vya kijeshi dhidi ya Tehran.

  • Araqchi: Iran iko tayari kwa vita na mazungumzo

    Araqchi: Iran iko tayari kwa vita na mazungumzo

    Jan 30, 2026 23:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kuwa Tehran iko tayari kwa vita na mazungumzo lakini haitakubali kuwekewa masharti. Araqchi ameeleza haya kufuatia vitisho vya kijeshi vya Washington dhidi ya Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS