Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zarif: Silaha za Atomiki za Marekani na Israel ni tishio kwa eneo

    Zarif: Silaha za Atomiki za Marekani na Israel ni tishio kwa eneo

    Aug 06, 2020 21:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa kauli kwa mnasaba wa siku ambayo Marekani ilidondosha mabomu ya atomiki huko Hiroshima Japan wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kusema jinamizi la silaha za atomiki linapaswa kufika ukingoni.

  • Alkhamisi tarehe 6 Agosti mwaka 2020

    Alkhamisi tarehe 6 Agosti mwaka 2020

    Aug 06, 2020 00:00

    Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Dhulhija mwaka 1441 Hijria sawa na Agosti 6 mwaka 2020.

  • Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani

    Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani

    Aug 01, 2020 09:17

    Vikosi vya Usalama vya Iran vimemtia mbaroni Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani.

  • Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili

    Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili

    Aug 01, 2020 05:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran

    Aug 01, 2020 02:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amevitaja vikwazo vya Marekani kuwa ni kitendo cha jinai dhidi ya taifa la Iran na ametoa wito wa kusimama kidete kukabiliana na adui huyo.

  • Swala ya Idul Adh'ha yafanyika katika maeneo mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya

    Swala ya Idul Adh'ha yafanyika katika maeneo mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya

    Jul 31, 2020 03:46

    Swala ya Idul Adh'ha imefanyika leo asubuhi katika miji mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya.

  • Zaidi ya wagonjwa 259,000 wa Covid-19 nchini Iran wamepata afueni

    Zaidi ya wagonjwa 259,000 wa Covid-19 nchini Iran wamepata afueni

    Jul 29, 2020 10:31

    Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, wagonjwa wengine wapya wapatao elfu mbili wa maradhi ya Covid-19 wamegunduliwa nchini, huku idadi ya waliopata afueni ya ugonjwa huo ikipindukia 259,000.

  • Rouhani: Adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa nje ya nchi

    Rouhani: Adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa nje ya nchi

    Jul 29, 2020 03:15

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa zake nje ya nchi.

  • Jumanne tarehe 28 Julai mwaka 2020

    Jumanne tarehe 28 Julai mwaka 2020

    Jul 27, 2020 23:23

    Leo ni Jumanne tarehe 7 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Julai 28 mwaka 2020.

  • Uhusiano wenye mlingano na madola yote ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini, kipaumbele katika sera za kigeni za Iran

    Uhusiano wenye mlingano na madola yote ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini, kipaumbele katika sera za kigeni za Iran

    Jul 26, 2020 06:16

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kulinda na kuendeleza mlingano wa uhusiano na urafiki na madola yote makubwa ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS