Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Matokeo mabaya ya vitendo viovu vya Marekani dhidi ya Iran; kuendelea kuvunjwa sheria duniani

    Matokeo mabaya ya vitendo viovu vya Marekani dhidi ya Iran; kuendelea kuvunjwa sheria duniani

    Jun 12, 2020 05:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani haina haki ya kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuiharibia jina Iran.

  • Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Jun 12, 2020 03:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kusema, hivi sasa ICC inahujumiwa na genge la wahalifu wambao wanajiarifisha kuwa ni wanadiplomasia."

  • Vikwazo vya kukaririwa vya Marekani dhidi ya Iran na kufeli mtawalia kwa sera za Washington

    Vikwazo vya kukaririwa vya Marekani dhidi ya Iran na kufeli mtawalia kwa sera za Washington

    Jun 11, 2020 22:00

    Baada ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani ilianza kutekeleza vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu ikiwa na lengo la kuidhoofisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kisha kuilazimisha kuketi kwenye meza ya mazungumzo.

  • Sisitizo la Borell la kuondoka Marekani JCPOA na madai yasiyo na msingi ya serikali ya Trump

    Sisitizo la Borell la kuondoka Marekani JCPOA na madai yasiyo na msingi ya serikali ya Trump

    Jun 11, 2020 00:16

    Rais Donald Trump wa Marekani ni mmoja wa wapinzani wakubwa wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na ambaye aliitoa nchi hiyo katika mapatano hayo ya kimataifa tarehe 8 mwezi Mei 2018.

  • Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Jun 10, 2020 22:58

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya Sheria na Kimataifa amesema wananchi wa Palestina hawana chaguo jingine isipokuwa mapambano na muqawama ili waweze kupata haki zao za msingi na kujiamulia mustakabali wao.

  • Benki ya Dunia: Ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupungua sana

    Benki ya Dunia: Ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupungua sana

    Jun 10, 2020 00:07

    Benki ya Dunia imekadiria kuwa kutokana na mlipuko wa COVID-19, ukuaji wa uchumi wa Tanzania mwaka huu utapungua sana na kufikia asilimia 2.5 kutoka asilimia 6.9 kama ilivyokadiriwa na serikali mwaka 2019.

  • Ndege ya Iran iliyobeba msaada wa  COVID-19 yawasili Venezuela

    Ndege ya Iran iliyobeba msaada wa COVID-19 yawasili Venezuela

    Jun 09, 2020 03:34

    Serikali ya Venezuela imesema ndege ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyobeba msaada wa dharura kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa wa COVID-19 iliwasili nchini humo jana Jumatatu.

  • Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia kifo cha mwanamuqawama wa Palestina

    Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia kifo cha mwanamuqawama wa Palestina

    Jun 08, 2020 07:44

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa mkono wa pole kufuatia kuaga dunia Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadu Islami ya Palestina, Ramadhan Abdullah Shalah.

  • Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Jun 06, 2020 03:41

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.

  • Iran yazitaka Marekani na EU ziiondolee Syria vikwazo

    Iran yazitaka Marekani na EU ziiondolee Syria vikwazo

    Jun 06, 2020 03:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka kuondolewa mara moja vikwazo haramu dhidi ya taifa la Syria vilivyowekwa na Marekani na Umoja wa Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS