-
Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 05, 2020 22:23Moja kati ya vipengee muhimu vya mapatano ya nyuklia ya maarufu kwa kifupi ka jina la JCPOA ni azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lina kipengee kuhusu kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran miaka mitano baada ya kuanza kutekelezwa mapatano hayo.
-
Ijumaa tarehe 5 Juni 2020
Jun 04, 2020 21:57Leo ni Ijumaa tarehe 13 Shawwal 1441 Hijria sawa na Juni 5 mwaka 2020
-
Watu zaidi ya 127,000 walioambukizwa COVID-19 nchini Iran wapona
Jun 04, 2020 21:55Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika 127,485 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Iran na Iraq; majirani wawili wenye nyuga nyingi za ushirikiano wa kiuchumi
Jun 04, 2020 21:54Iran na Iraq ni nchi mbili jirani zenye nyuga na mambo mengi yanayozikutanisha pamoja na zina pia nafasi kubwa, pana na za kila namna za kupanua ushirikiano wao katika nyanja tofauti za kiuchumi kama vile sekta ya nishati.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam Khomeini
Jun 04, 2020 03:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini.
-
Alkhamisi, tarehe 4 Juni, 2020
Jun 03, 2020 21:59Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Shawwal 1441 Hijria sawa na Juni 4 mwaka 2020.
-
Wabunge wa Iran walaani 'ugaidi wa kibaguzi' wa polisi ya Marekani
Jun 02, 2020 23:25Wabunge 240 wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa ya kulaani mwenendo wa polisi ya Marekani wa kutumia ugaidi wa kibaguzi dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Iran: Mashirika ya haki za binadamu duniani yasifumbie macho mauaji ya Mmarekani mweusi, George Floyd
May 31, 2020 07:26Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani yanapaswa kupaza sauti zao dhidi ya mauaji ya George Floyd Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mweupe mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota hivi karibuni.
-
Iran: Sauti ya waandamanaji nchini Marekani lazima isikilizwe
May 30, 2020 03:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kulaani mauaji ya raia wa Marekani wenye asili ya Afrika, imesisitiza kuwa sauti za watu wanaoandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya watu weusi lazima isikilizwe.
-
EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran
May 30, 2020 03:41Umoja wa Ulaya na China zimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kufuta misamaha ya vikwazo inayohusiana na makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.